matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Nimeelewa. Pia sio wavivu kuanzia watoto wa kike hadi wa kiume. Mtoto aliyemaliza STD 7 anaweza kulisha familia bila kuach8wa pesa na wazazi. Ugali au wali walilima, mboga anatafuta porini. Siku zinaenda.1. Pesa/mali kila mtu anayo ya kutosha siyo kama zile sehemu za wazee wa sokoni 7days/week.
2. Hawana tamaa za hovyo hovyo juu ya mali ya mtu
3. Maadili mema ni jadi yao
😆😆😆. Ugoko umekomaa kinyama. Mtu anaendesha baiskeli mkoa hadi mkoa kwenda na kurudi hahaha. Wale wasukuma wa chimbo wako vizuri sio machotara wa mjini.We unawaonaje walivyokomaa mkuu....ugoko mmoja tunakuzika
hakuna wavivu, hakuna wanaochagua kazi, hakuna wasio na kazi, ni watu wa bidii, kazi kazi. wanashindana kufanikiwa kila moja kwa jasho lake...Nimekaa vijiji kadhaa, na kupita katika harakati zangu nimeona tofauti kubwa.
Usukumani ndani kabisa vijijini hakuna wiziwizi wa ajabu.
Huwezi kusikia wizi wa mifugo.
Watu wanaweka magunia ya mipunga bila ulinzi wa kutisha na unayakuta.
Cha ajabu hata vijiji vya wasukuma waliohamia Sumbawanga na Morogoro hivyohivyo.
Unatembea usiku hakuna mtu mwenye hamu ya kukukaba. Ukisahau pembejeo shambani unazikuta.
Jamaa wengi sio wezi, babda utokee ukame na kuwe na baa la njaa. Ila kwingineko huko tunakopitapita jamaa ni wepesi sana, tena ukiwa mgeni lazima uonewe.
Nini chanzo cha hii kitu
Wale ukilegealegea wanapita nawe jumla😆😆😆. Ugoko umekomaa kinyama. Mtu anaendesha baiskeli mkoa hadi mkoa kwenda na kurudi hahaha. Wale wasukuma wa chimbo wako vizuri sio machotara wa mjini.
Ni Khatareee. Kule kijijini nilishangaa na kila stage lazima upitie kwa mganga. Sisi watu wa kitabu ambao tunatumia maombi wanaona kama tunajichelewesha.Wasukuma kwa mambo ya ndumba ni khatareee oghopaaa.
Jamaa wanaepnda waganga aisee.Sasa kama kila familia Ina mganga wake konki mwizi atapata wap ujasiri
Niliona vijana wanawacheka graduates. Yaani dogo Kamaliza STD7 anauwezo wa kununua Boda. Shamba la familia lipo, ngombe na zana zipo yeye ni bidii yake.Mkuu ni kweli kabisa,Vijana wa huku kijijini wengi wanafanya kazi hasa za kilimo hawana tamaa na pesa za wizi au uonevu japo wapo lakini siwezi linganisha na sehem nliyokuwa naishi mwanzo kabla ya kuhamia huku..
Uvivu ndio point kubwa aisee. Nimeona vijijini vya mikoa ya mwambao wa bahari wajanjawajanja wengi. Wanataka vitu soft ndio maana rate ya wizi, kutapeliwa, ni kubwa kidogo hasa kwa mgeni.hakuna wavivu, hakuna wanaochagua kazi, hakuna wasio na kazi, ni watu wa bidii, kazi kazi. wanashindana kufanikiwa kila moja kwa jasho lake...
Sababu ni jinsi mwizi anavyochukuliwa.Nimekaa vijiji kadhaa, na kupita katika harakati zangu nimeona tofauti kubwa.
Usukumani ndani kabisa vijijini hakuna wiziwizi wa ajabu.
Huwezi kusikia wizi wa mifugo.
Watu wanaweka magunia ya mipunga bila ulinzi wa kutisha na unayakuta.
Cha ajabu hata vijiji vya wasukuma waliohamia Sumbawanga na Morogoro hivyohivyo.
Unatembea usiku hakuna mtu mwenye hamu ya kukukaba. Ukisahau pembejeo shambani unazikuta.
Jamaa wengi sio wezi, babda utokee ukame na kuwe na baa la njaa. Ila kwingineko huko tunakopitapita jamaa ni wepesi sana, tena ukiwa mgeni lazima uonewe.
Nini chanzo cha hii kitu
Hasa wenyeji wa pwani na ukanda huo yani ni wadokozi balaa.Nimekaa vijiji kadhaa, na kupita katika harakati zangu nimeona tofauti kubwa.
Usukumani ndani kabisa vijijini hakuna wiziwizi wa ajabu.
Huwezi kusikia wizi wa mifugo.
Watu wanaweka magunia ya mipunga bila ulinzi wa kutisha na unayakuta.
Cha ajabu hata vijiji vya wasukuma waliohamia Sumbawanga na Morogoro hivyohivyo.
Unatembea usiku hakuna mtu mwenye hamu ya kukukaba. Ukisahau pembejeo shambani unazikuta.
Jamaa wengi sio wezi, babda utokee ukame na kuwe na baa la njaa. Ila kwingineko huko tunakopitapita jamaa ni wepesi sana, tena ukiwa mgeni lazima uonewe.
Nini chanzo cha hii kitu
Duu. Hii nimeipenda.Sababu ni jinsi mwizi anavyochukuliwa.
Huku mjini mtu mwizi mnamuita 'mjanja'
Lakini kwa msukuma mwizi ni kiwango cha chini sana cha kiumbe. Yaani yupo chini hata ya mdudu.
Ndio maana wao kumuondoa duniani mwizi hawaoni kama ni kitu cha ajabu, yaani ni kama wanasafisha kijiji kisivamiwe na 'zombi' mmoja anayejitanabaisha kama mwizi