GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Kuna Mmoja akitaka Kuuliwa akivaa Kofia yake Maadui zake hawamuoni.
Na huyo huyo pia kama Maadui zake wakimkaribia hugeuka Mbuzi na Kondoo wengi.
2. Kuna Mwingine akienda Kuhutubia Watu lazima auoge Mkojo wake.
3. Kuna Mwingine ili Safari yake ya mbali ili ifanikiwe au azime Jambo fulani Kubwa linaloendelea nchini mwake ni lazima tu kutokee na Ajali Mbaya na Kubwa sana
4. Kuna mwingine katika Msafara wake lazima aongozane na Mganga wake.
5. Kuna Mwingine kila baada ya Wiki Mbili au Mwezi lazima azike Mbuzi tena akiwa Hai kabisa.
6. Kuna mwingine ili aogopeke, asikilizwe, asiuwawe na atawale kama Mungu Mtu ni lazima kila baada ya Miezi Mitatu akapikwe katka Pipa lenye Nyongo ya Simba ( Marehemu Mobutu aliitumia mno hii ila kuna Sharti moja tu alilikosea na mambo kumharibikia ) Hii Siku nikipata muda nitaiezea Kiundani kwani ni ya Hatari mno ila ikikukubali Wewe ndiyo utaamua Uachie Madaraka lini lakini siyo Wananchi wako watake Uondoke na watakuwa Wanakupenda hadi Kukufuru hata kama Unawatukana.
7. Kuna mwingine hata kama Akioga Maji ya Kawaida ila ni lazima Aoge Maji yaliyochotwa kutoka Baharini na yasipokuwepo haendi kokote.
Na kinachonishangaza hawa Marais ( Viongozi ) wa Afrika pamoja na kuwa Washirikina hivi kwa 85% lakini bado kila Wiki huenda Ibadani ( Makanisani na Misikitini ) Kuabudu na hawakosi Ibada.
Kazi kweli kweli.....!!