MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Tatizo sisi watu wa kada ya chini tunaamini mfanyakazi analipwa mshahara tu mwisho wa mwezi, huko juu mambo sio hivyo. Mshahara ni sehemu tu ya package anayopewa; kuna usafiri, ulinzi, nyumba, watumishi wa nyumbani, mawasiliano, mavazi, matibabu, likizo, masomo ya watoto; list ni ndefu sana. Kuna kampuni binafsi zina mpaka likizo za nje ya nchi katika package.
Tuchape kazi na sisi tufike huko.
Tuchape kazi na sisi tufike huko.