Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Viongozi wa afrika bila shaka wanashida vichwani mwao, watu wao wanakufa , wakiwa na majanga mabalimbali wanaingiza siasa,wakati wa uchaguzi wanaona wa thamani sana, lakini wakati wa majanga huwona kama nyani tu ,kwa mfano kariakoo
Eti watu wanawaokoa kwa kutumia jembe, nyumdo ,spedi, wapo serious kweli na maisha ya watu,?
Tofauti kabisa na nchi zingine kama israel, marekani raia wao wanathamini sana.
Hili swala inatakiwa liwekwe kwenye katiba, " raia,kwanza nchi kwanza." Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.