Kwanini viongozi wa Afrika hawaoni thamani ya raia wao ?

Kwa Africa ukiwa na Madaraka manaake ni kwamba wewe na ukoo wako wote ndio mna akili kuliko wengine wote ndani ya nchi, yaani ghafla baada ya kuchaguliwa wengine wote wanakuwa Wajinga, duni na Mabwege
Ni shida sana, ndio maana huwa hatuendelei
 
Mfano suala la kudondoka hili ghorofa kariakoo lilikuwa ni suala la muda tu, hapo kariakoo Kuna maghorofa mengi sanaaa ambayo yatakuja kudondoka mdogo mdogo, hapo Kuna viboksi (maghorofa) yataanguka sana, zilishafanywa tafiti za kiutaalamu hapo, ripoti zipo, hapo zaidi ya ghorofa 50 zitakuja kuanguka siku moja... Huku ni kutokujali Kwa kiwango kikubwa.

Shida wanawaza kuvumbilwa wakati raia wao wanakufa
 
Viongozi wa afrika bila shaka wanashida vichwani mwao, watu wao wanakufa , wakiwa na majanga mabalimbali wanaingiza siasa,wakati wa uchaguzi wanaona wa thamani sana, lakini wakati wa majanga huwona kama nyani tu ,kwa mfano kariakoo
Eti watu wanawaokoa kwa kutumia jembe, nyumdo ,spedi, wapo serious kweli na maisha ya watu,?
Tofauti kabisa na nchi zingine kama israel, marekani raia wao wanathamini sana.
Hili swala inatakiwa liwekwe kwenye katiba, " raia,kwanza nchi kwanza." Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Pambania maisha yako
 
Kwa sababu Kwao raia ni sawa na PANYA na DIGIDIGI 🤣😃

Ndo maana jengo linaanguka yeye anaruka na ndege!!!
 
Viongozi wa afrika bila shaka wanashida vichwani mwao, watu wao wanakufa , wakiwa na majanga mabalimbali wanaingiza siasa,wakati wa uchaguzi wanaona wa thamani sana, lakini wakati wa majanga huwona kama nyani tu ,kwa mfano kariakoo
Eti watu wanawaokoa kwa kutumia jembe, nyumdo ,spedi, wapo serious kweli na maisha ya watu,?
Tofauti kabisa na nchi zingine kama israel, marekani raia wao wanathamini sana.
Hili swala inatakiwa liwekwe kwenye katiba, " raia,kwanza nchi kwanza." Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Afrika Hakuna Viongozi, bali Afrika kuna Watawala.
NB: Elewa tofauti iliyopo kati ya Viongozi na Watawala.
 
Tunaprofesa na wasomi wengi waliosomea kuokoa lakini seriousness hamna, viongozi wa afrika
Ma profesa wa Uchumi labda tutakua nao wengi sio kwenye swala la kuokoa utakua umejichanganya mkuu majanga mengi hao watu tunawaomba kutoka SA..watu wanaoweza kuingia kwenye mazingira kama hayo ya Kariakoo sijui kama wapo hapo na vifaa vyake ikiwa wanaoweza kuzama kwenye kina kirefu tu tunaomba msaada kutoka kwa kaburu..
 
Viongozi wa afrika bila shaka wanashida vichwani mwao, watu wao wanakufa , wakiwa na majanga mabalimbali wanaingiza siasa,wakati wa uchaguzi wanaona wa thamani sana, lakini wakati wa majanga huwona kama nyani tu ,kwa mfano kariakoo
Eti watu wanawaokoa kwa kutumia jembe, nyumdo ,spedi, wapo serious kweli na maisha ya watu,?
Tofauti kabisa na nchi zingine kama israel, marekani raia wao wanathamini sana.
Hili swala inatakiwa liwekwe kwenye katiba, " raia,kwanza nchi kwanza." Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Halafu kwenye Mada Nyeti kama hizi huwezi kumwona LUCAS HEBEL MWASHAMBWA akichangia
 
Sio kweli kuwa viongozi hawaoni thamani ya raia wao.

Ila raia ndio hatuoni thamani yetu na tumekubali kuishi chini ya ambavyo tungeweza kuishi.

Nchi yenye wananchi zaidi ya Milioni 60 na viongozi wa juu hata 1,000 hawafiki tumekaa tu hatuwezi kujipambania wala kupinga mabaya tunayofanyiwa, hii haingii akilini.

Tatizo lipo na sisi tumekubali huu ukoloni wa sisi kwa sisi.
 
Mkuu wametugawa, ni ngumu sana kuunga ma chawa eti mpiganie haki, kwa jili ya masilai ya taifa, elimu ya uzalendo inahitajika
 
Ma profesa wa Uchumi labda tutakua nao wengi sio kwenye swala la kuokoa utakua umejichanganya mkuu majanga mengi hao watu tunawaomba kutoka SA..watu wanaoweza kuingia kwenye mazingira kama hayo ya Kariakoo sijui kama wapo hapo na vifaa vyake ikiwa wanaoweza kuzama kwenye kina kirefu tu tunaomba msaada kutoka kwa kaburu..
Shida ni utayali wa kuandaa au kununua vifaa, zaidi wanawoñgezea masilai wake wa viongozi, hii sio laana
 
Viongozi wa afrika bila shaka wanashida vichwani mwao, watu wao wanakufa , wakiwa na majanga mabalimbali wanaingiza siasa,wakati wa uchaguzi wanaona wa thamani sana, lakini wakati wa majanga huwona kama nyani tu ,kwa mfano kariakoo
Eti watu wanawaokoa kwa kutumia jembe, nyumdo ,spedi, wapo serious kweli na maisha ya watu,?
Tofauti kabisa na nchi zingine kama israel, marekani raia wao wanathamini sana.
Hili swala inatakiwa liwekwe kwenye katiba, " raia,kwanza nchi kwanza." Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Mkiambiwa kulipa kodi mnakimbia halafu unakuja hapa kujifananisha na nchi za watu. Kule hakuna bure kila huduma inayotelewa kuna mtu analipia.
 
Mfano suala la kudondoka hili ghorofa kariakoo lilikuwa ni suala la muda tu, hapo kariakoo Kuna maghorofa mengi sanaaa ambayo yatakuja kudondoka mdogo mdogo, hapo Kuna viboksi (maghorofa) yataanguka sana, zilishafanywa tafiti za kiutaalamu hapo, ripoti zipo, hapo zaidi ya ghorofa 50 zitakuja kuanguka siku moja... Huku ni kutokujali Kwa kiwango kikubwa.
Kuna uchafu mwingi sana

Ova
 
Mkiambiwa kulipa kodi mnakimbia halafu unakuja hapa kujifananisha na nchi za watu. Kule hakuna bure kila huduma inayotelewa kuna mtu analipia.

Sawa mkuu, unalipa kodi zinaenda mfukoni mwa mtu mmoj au kikundi cha watu! Haoni shida hapo
 
Back
Top Bottom