Tunaprofesa na wasomi wengi waliosomea kuokoa lakini seriousness hamna, viongozi wa afrikakutumia jembe na chepeo sio tatizo kwenye wengi.shida kujipanga na jambo lenyewe. kwenye upiganaji kivita kanuni haingalii siraha inaangalia mbinu.mbinu ndio inaangalia siraha.
shida watu wanaamini sana watu wenye vyeo na vyeo vyenyewe mtu anapewa kwasababu tu kadhibiti wapinzani. kateka watu kaumiza watu. yupo kushangaa tu hajui hata yeye afanye nini.
ila ikitokea mbowe na lisu wanataka kutembea kwa mguu barababrani utaona wanaita kilajeshi hadi waliositafu wanapewa magwanda na bunduki kuwazuia wasitembee.
hovyo kabisa sisi.
nguvu walioitumia kuwadhibiti kina mbowe kipindi kile na yale mabaunsa yanashika bunduki ya kilo 5 kama kijiko cha chakula.nakuhakikishia wangeshika nyundo kubwa kwa nia ya dhati kuokao, wakiwa wanaelekezwa na mtaalam wa majengo .kazi hiyo ingeshaisha zamani na waliokwamba wangeshasahau kama walikwama.Tunaprofesa na wasomi wengi waliosomea kuokoa lakini seriousness hamna, viongozi wa afrika
nguvu walioitumia kuwadhibiti kina mbowe kipindi kile na yale mabaunsa yanashika bunduki ya kilo 5 kama kijiko cha chakula.nakuhakikishia wangeshika nyundo kubwa kwa nia ya dhati kuokao, wakiwa wanaelekezwa na mtaalam wa majengo .kazi hiyo ingeshaisha zamani na waliokwamba wangeshasahau kama walikwama.
Africa haijalaaniwa Ila baadhi ya watu ndo wamelaaniwaAfrika bara la laana
Na wapigaji wamehesabiwa kwenye hy bajeti 🔥🔥 ukitoka tuu kwenda kuona majanga unalipwa 🔥🔥Ila bajeti ya state emegence ipo kubwa mno,
Elimu!kutumia jembe na chepeo sio tatizo kwenye wengi.shida kujipanga na jambo lenyewe. kwenye upiganaji kivita kanuni haingalii siraha inaangalia mbinu.mbinu ndio inaangalia siraha.
shida watu wanaamini sana watu wenye vyeo na vyeo vyenyewe mtu anapewa kwasababu tu kadhibiti wapinzani. kateka watu kaumiza watu. yupo kushangaa tu hajui hata yeye afanye nini.
ila ikitokea mbowe na lisu wanataka kutembea kwa mguu barababrani utaona wanaita kilajeshi hadi waliositafu wanapewa magwanda na bunduki kuwazuia wasitembee.
hovyo kabisa sisi.
Umelete taarifa nusu nusu... Tuliomsikia akiongea kamanda pia alisema kazi imekuwa ngumu kwa sababu za design ya jengo husika.Labdakama wewe ni katika wale jamaa siku akilala njaa akiamka ni kulaumu serikali tu Wakat hela ya kula kabetiaView attachment 3154424
Kwa Africa ukiwa na Madaraka manaake ni kwamba wewe na ukoo wako wote ndio mna akili kuliko wengine wote ndani ya nchi, yaani ghafla baada ya kuchaguliwa wengine wote wanakuwa Wajinga, duni na MabwegeViongozi wa afrika bila shaka wanashida vichwani mwao, watu wao wanakufa , wakiwa na majanga mabalimbali wanaingiza siasa,wakati wa uchaguzi wanaona wa thamani sana, lakini wakati wa majanga huwona kama nyani tu ,kwa mfano kariakoo
Eti watu wanawaokoa kwa kutumia jembe, nyumdo ,spedi, wapo serious kweli na maisha ya watu,?
Tofauti kabisa na nchi zingine kama israel, marekani raia wao wanathamini sana.
Hili swala inatakiwa liwekwe kwenye katiba, " raia,kwanza nchi kwanza." Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.