Kwanini viongozi wa dini wasione umuhimu sasa wa kuwahubiri viumbe wengine ili nao waende mbinguni?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Kama Mungu aliumba viumbe vyote kwa thamani sawa inamaana watu na wanyama wengineo pia watatakiwa kuwepo mbinguni.

Sasa kwanini wanadini wanakomaa na watu tu na wameacha viumbe wengine ambao kiuhalisia nao wanafanya dhambi ya ngono,kuua,nk?

Au hoja kuu ni SADAKA YA HELA?
 
Ccm imetuharibia taifa la wenye akili
 
Mwanadamu alipewa akili zaidi ya wanyama, unaanzaje kuhubiria wanyama?
 
Back
Top Bottom