HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Ccm imetuharibia taifa la wenye akiliKama Mungu aliumba viumbe vyote kwa thamani sawa inamaana watu na wanyama wengineo pia watatakiwa kuwepo mbinguni.
Sasa kwanini wanadini wanakomaa na watu tu na wameacha viumbe wengine ambao kiuhalisia nao wanafanya dhambi ya ngono,kuua,nk?
Au hoja kuu ni SADAKA YA HELA?
sasa tuifanyaje na haitaki kuondoka madarakani?Ccm imetuharibia taifa la wenye akili
When it was raining brains, you had an umbrella.