Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Unataka ushahidi gani juu ya ruzuku kuchuliwa?
Weka ushahidi namna ulivyoibiwa kura?
Video za bi kidude?
Ushahidi wa kuibiwa kura nimeuona kwa macho yangu, na vyombo vya uchunguzi haviwezi kukubali hilo liwe wazi maana wao ni wahusika kwa wizi huo. Lakini cdm kuchukua ruzuku haiwezi kuwa siri maana wao ni maadui wa serikali, hivyo kungekuwa na ushahidi ungewekwa wazi ili kuwaumbua.