Unataka ushahidi gani juu ya ruzuku kuchuliwa?
Weka ushahidi namna ulivyoibiwa kura?
Video za bi kidude?
Wanaogopa corona wanajua ipoKwa sasa imekuwa ni vigumu sana kuwaona na hata kuwasikia viongozi wetu wakuu wa upinzani katika matukio muhimu.
Kwa mfano katika shughuli muhimu kama msiba wa balozi Kijazi au katika tukio la kuapishwa Katibu mkuu kiongozi mpya balozi Bashiru walipaswa kuwepo lakini hawajaonekana.
Ni Prof Lipumba pekee ndiye amewahi kuonekana kwenye sherehe za siku ya sheria lakini Mbatia, Zitto Kabwe, mzee Cheyo na Mbowe ni kitambo sasa hawaonekani.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa kuwa huo wizi umeuona kwa macho yako ndio sisi tukuamini? Mbona sisi hatukuona na hutaki kuamini?Ushahidi wa kuibiwa kura nimeuona kwa macho yangu, na vyombo vya uchunguzi haviwezi kukubali hilo liwe wazi maana wao ni wahusika kwa wizi huo. Lakini cdm kuchukua ruzuku haiwezi kuwa siri maana wao ni maadui wa serikali, hivyo kungekuwa na ushahidi ungewekwa wazi ili kuwaumbua.
Kwa kuwa huo wizi umeuona kwa macho yako ndio sisi tukuamini? Mbona sisi hatukuona na hutaki kuamini?
Magazeti hapa nchini yaliripoti juu ya Chadema kupokea ruzuku.
Siyo chuki Idugunde . Hakuna jukwaa la kurushiana matani na Rais . Kama mdahalo tu huwa mnaogopa, sembuse jukwaa la matani !!Wewe unachuki binafsi kama jamaa flani yumbo humu Jf.