Kwanini viongozi walioshiriki kupokea ripoti ya haki Jinai hakuna aliyekuwa anatake note isipokuwa President peke yake?

Siku hizi teknolojia inaruhusu mtu kuchukuwa notes bila kalamu na karatasi kwa review ya baadae. Ukiona anachukuwa notes, elewa ni kwa kutumia papo kwa papo, au ana m comfort anaemsikiliza kisaikolojia.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Upo AI age.
Mbona rais anaandika?
 
Ni sahihi kwa viongozi kuingia kwenye kikao cha Mhe. Rais bila diary wala note book? Au protokali ndio inataka hivyo?

Na kama ni protokali mbona Mhe. Rais alikuwa busy kusikiliza na kuandika? Baadhi ya viongozi wanaonekana kwenye TV wamelala kabisa.

Enzi ya utawala wa Mwalimu na hata utawala wa Magu viongozi walijiandaa wakati wote kupokea maelekezo ; leo Mhe. Rais anatoa maagizo hakuna anayechukua maagizo kwa maandishi. Hii haijakaa vyema; inaleta picha kwamba wanaohudhuria hivi vikao wanajua hakuna maagizo watapewa. Lakini pia inapunguza ufanisi kwa sababu ni vigumu kukumbuka kila kilichosemwa kwani si kila kinowasilishwa kipo kwenye ripoti.
Saa100 mwenyewe naona amekata tamaa
 
Uliona kuna pendekeao lolote la tume kalikataa?

Unafikiri Mama Samia mkurupukaji kama mwendazake?

Kila kilichopendezwa kitachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria. Huyo ndiyo mama.
Hakuna hatua yoyote itachukuliwa, hizo tume na ripoti zake tuna uzoefu nazo kuwa ni upotevu wa fedha na rasilimali muda. Machafuko tu ndio yatafanya ripoti za aina hiyo zitekelezwe.
 
Machafuko ?!![emoji15][emoji15]

Yapi mkuu ?!!!

Sasa mkuu Tindo unaelekea kuwa "kamikaze" [emoji1787].

#SiempreJMT[emoji120]
 
Ni sahihi kwa viongozi kuingia kwenye kikao cha Mhe. Rais bila diary wala note book? Au protokali ndio inataka hivyo?

Na kama ni protokali mbona Mhe. Rais alikuwa busy kusikiliza na kuandika? Baadhi ya viongozi wanaonekana kwenye TV wamelala kabisa.

Enzi ya utawala wa Mwalimu na hata utawala wa Magu viongozi walijiandaa wakati wote kupokea maelekezo ; leo Mhe. Rais anatoa maagizo hakuna anayechukua maagizo kwa maandishi. Hii haijakaa vyema; inaleta picha kwamba wanaohudhuria hivi vikao wanajua hakuna maagizo watapewa. Lakini pia inapunguza ufanisi kwa sababu ni vigumu kukumbuka kila kilichosemwa kwani si kila kinowasilishwa kipo kwenye ripoti.
Pale hawakuitwa kwenye semina, waliitwa kushuhudia. Suala la yeye kuchukua note, pale ni ikulu yupo ofisini kwake si hoja kunote
 
Back
Top Bottom