Kwanini viongozi walioshiriki kupokea ripoti ya haki Jinai hakuna aliyekuwa anatake note isipokuwa President peke yake?

Mbona rais anaandika?
 
Saa100 mwenyewe naona amekata tamaa
 
Uliona kuna pendekeao lolote la tume kalikataa?

Unafikiri Mama Samia mkurupukaji kama mwendazake?

Kila kilichopendezwa kitachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria. Huyo ndiyo mama.
Hakuna hatua yoyote itachukuliwa, hizo tume na ripoti zake tuna uzoefu nazo kuwa ni upotevu wa fedha na rasilimali muda. Machafuko tu ndio yatafanya ripoti za aina hiyo zitekelezwe.
 
Hakuna hatua yoyote itachukuliwa, hizo tume na ripoti zake tuna uzoefu nazo kuwa ni upotevu wa fedha na rasilimali muda. Machafuko tu ndio yatafanya ripoti za aina hiyo zitekelezwe.
Machafuko ?!![emoji15][emoji15]

Yapi mkuu ?!!!

Sasa mkuu Tindo unaelekea kuwa "kamikaze" [emoji1787].

#SiempreJMT[emoji120]
 
Pale hawakuitwa kwenye semina, waliitwa kushuhudia. Suala la yeye kuchukua note, pale ni ikulu yupo ofisini kwake si hoja kunote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…