Kwanini viongozi wapya wa CHADEMA wamechagua mtindo wa kufoka, wanapohutubia kwenye mikutano yao?

Kwanini viongozi wapya wa CHADEMA wamechagua mtindo wa kufoka, wanapohutubia kwenye mikutano yao?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Hususani kwa wenye maoni na mitazamo tofauti na ya chama hicho?

Na kwanini viongozi wapya waandamizi wa chadema wamechagua mtindo wa kuropoka, kufokafoka na kugomba, wanapohutubia kwenye mikutano yao ya hadhara badala ya kusemezana taratibu na wanachama wao na kuwashawishi wananchi wengine kwa hekima na busara ili hatimae wawaunge mkono?

Hata ukifuatilia comments zote zenye mihemko, makasiriko na za matusi kwenye hoja hii muhimu sana, zote ni za wanachadema hiihii iliyopteza uelekeo na kusambaratika 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Baada ya kijadili kwa nini wewe ni kenge toka CCm
IMG_1443.jpeg
 
Hususani kwa wenye maoni na mitazamo tofauti na ya chama hicho?
Na kwanini viongozi wapya waandamizi wa chadema wamechagu mtindo wa kufokafoka na kugomba, wanapohutubia kwenye mikutano yao ya hadhara badala ya kusemezana taratibu na wananchi na kuwashawishi kwa hekima na busara?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
No Reforms No Election
 
Hivi hata supu umekunywa kweli?
 
Back
Top Bottom