Kwanini viongozi wapya wa CHADEMA wamechagua mtindo wa kufoka, wanapohutubia kwenye mikutano yao?

Hususani kwa wenye maoni na mitazamo tofauti na ya chama hicho?
Na kwanini viongozi wapya waandamizi wa chadema wamechagua mtindo wa kuropoka, kufokafoka na kugomba, wanapohutubia kwenye mikutano yao ya hadhara badala ya kusemezana taratibu na wanachama wao na kuwashawishi wananchi wengine kwa hekima na busara ili hatimae wawaunge mkono?

Hata ukifuatilia comments zote zenye mihemko, makasiriko na za matusi kwenye hoja hii muhimu sana, zote ni za wanachadema hiihii iliyopteza uelekeo na kusambaratika 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman umeandika weee kuhusu CDM sasa naona huna cha kuandika tena😂😂😂😂
 
Gentleman,
ni bahati mbaya bandiko hili limekuja katika hatua za mwisho kabisaa za uhai wa chadema kisiasa nchini,

hata hivyo,
mabandiko yaliyobaki kuihusu chadema Lazima yapandishwe jukwaani kwa maslahi mapana ya ya wadau wa JF 🐒
 
Uhai wa mwisho wa CDM!?😂😂😂
 
Hususani kwa wenye maoni na mitazamo tofauti na ya chama hicho?

Na kwanini viongozi wapya waandamizi wa chadema wamechagua mtindo wa kuropoka, kufokafoka na kugomba, wanapohutubia kwenye mikutano yao ya hadhara badala ya kusemezana taratibu na wanachama wao na kuwashawishi wananchi wengine kwa hekima na busara ili hatimae wawaunge mkono?

Hata ukifuatilia comments zote zenye mihemko, makasiriko na za matusi kwenye hoja hii muhimu sana, zote ni za wanachadema hiihii iliyopteza uelekeo na kusambaratika 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Bwasheee hoja dhidi ya upinzani umeishiwa umeona huibuke na hii?. Hivi kwa mtu uliyelelewa na wazazi vyema ukapelekwa shule ukasoma mpaka ulipoishia unaona hapo umetoa hoja ya msingi?.

Tumefikia hatua kuwa mtu anatakiwa aongee kwa modality fulani Ili tumuelewe. Mode of presentation nayo ni ya kujadili kweli?. Aliyetufikisha hapa ni hatari kuliko Kansa.
 
It's simple,kufoka kunatokana subject matter.The subject matter determines the tone and mood of the speaker.you cannot conscientize people by a polite tone. Tulioenda shule tunajua mana ya kufoka foka
 
Bwasheee hoja dhidi ya upinzani umeishiwa umeona huibuke na hii?. Hivi kwa mtu uliyelelewa na wazazi vyema ukapelekwa shule ukasoma mpaka ulipoishia unaona hapo umetoa hoja ya msingi?.

Tumefikia hatua kuwa mtu anatakiwa aongee kwa modality fulani Ili tumuelewe. Mode of presentation nayo ni ya kujadili kweli?. Aliyetufikisha hapa ni hatari kuliko Kansa.
kuelekea kufutika kwa chadema kwenye medani ya siasa za Tanzania, ni muhimu kuibua miongoni mwa mambo muhimu yaliyosababisha kufutika huko kwa chadema kisiasa.

bilashaka huo utambulisho wao ulisababisha wengi kusita kujiunga lakini pia, wengi wenye hekima na Busara kujiengua kwenye chama hicho 🐒
 
Leta uthibitisho kwamba heche anaishi Kwa wazazi wake
sio vibaya mtu mzima kuishi kwa wazazi gentleman ila ni fedheha sana kwa mtu ambae aliwahi kua mbunge kufikia hatua hiyo, hakuna haja ya uthibitisho kuhusu jambo bayana kama hili 🐒
 
Wale walioamua kutumia mtindo wa kulamba masaburi ya boss wao je, kila mtu anaamua aishije. Kama hivi wewe na Co. ni mwendo wa kulamba masaburi tu.
 
kuelekea kufutika kwa chadema kwenye medani ya siasa za Tanzania, ni muhimu kuibua miongoni mwa mambo muhimu yaliyosababisha kufutika huko kwa chadema kisiasa.

bilashaka huo utambulisho wao ulisababisha wengi kusita kujiunga lakini pia, wengi wenye hekima na Busara kujiengua kwenye chama hicho 🐒
Totally rubbish
 
halafu hawawezi kuja na jambo jipya, wanachukua yaliyofanywa na CCM ndo wayatoe kasoro, nje ya hapo hawana jambo. anyway ndo maana ya upinzani.
 
Wale walioamua kutumia mtindo wa kulamba masaburi ya boss wao je, kila mtu anaamua aishije. Kama hivi wewe na Co. ni mwendo wa kulamba masaburi tu.
unaweza kuwaeleza wadau wa JF kwa lugha nyingine nyepesi zaidi gentleman, ili twende sawa 🐒
 
Kwa nini unawadanganya wana jf wewe ni mbunge wakati ni chawa tu?
 
Back
Top Bottom