Hususani kwa wenye maoni na mitazamo tofauti na ya chama hicho?
Na kwanini viongozi wapya waandamizi wa chadema wamechagua mtindo wa kuropoka, kufokafoka na kugomba, wanapohutubia kwenye mikutano yao ya hadhara badala ya kusemezana taratibu na wanachama wao na kuwashawishi wananchi wengine kwa hekima na busara ili hatimae wawaunge mkono?
Hata ukifuatilia comments zote zenye mihemko, makasiriko na za matusi kwenye hoja hii muhimu sana, zote ni za wanachadema hiihii iliyopteza uelekeo na kusambaratika 🐒
Mungu Ibariki Tanzania