akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,233
- 1,422
Wafuasi wa CHADEMA ni mama Moja na wafuasi wa SIMBA.Hususani kwa wenye maoni na mitazamo tofauti na ya chama hicho?
Na kwanini viongozi wapya waandamizi wa chadema wamechagua mtindo wa kuropoka, kufokafoka na kugomba, wanapohutubia kwenye mikutano yao ya hadhara badala ya kusemezana taratibu na wanachama wao na kuwashawishi wananchi wengine kwa hekima na busara ili hatimae wawaunge mkono?
Hata ukifuatilia comments zote zenye mihemko, makasiriko na za matusi kwenye hoja hii muhimu sana, zote ni za wanachadema hiihii iliyopteza uelekeo na kusambaratika π
Mungu Ibariki Tanzania
jikite kwenye hoja bila kuhamisha mjadala gentleman πBaada ya kijadili kwa nini wewe ni kenge toka CCm
View attachment 3349360
Kwa sababu wanawakilisha wananchi.Hususani kwa wenye maoni na mitazamo tofauti na ya chama hicho?
Na kwanini viongozi wapya waandamizi wa chadema wamechagua mtindo wa kuropoka, kufokafoka na kugomba, wanapohutubia kwenye mikutano yao ya hadhara badala ya kusemezana taratibu na wanachama wao na kuwashawishi wananchi wengine kwa hekima na busara ili hatimae wawaunge mkono?
Hata ukifuatilia comments zote zenye mihemko, makasiriko na za matusi kwenye hoja hii muhimu sana, zote ni za wanachadema hiihii iliyopteza uelekeo na kusambaratika π
Mungu Ibariki Tanzania
Sema kunywa supu ya samak...chai nakuachia wewekunywa chai kwanza my lady?
halafu kwanini umevaa nguo nyekundu leo?π
ni muhim zaidi kua huru kuandika uzi mahusisi jukwaani kuliko kujaribu kuhamisha mjadala gentleman πKwanini utambulisho wa CCM mitandaoni na mitaani ni kutishia wapinzani wao na kutetea utoaji rushwa hadi kuwaona mnaadui wale wanaofichua wezi wa mali za umma?
Utaumia snmchoma vitenge wa BAWACHA usimpotoshe mdau wa JF kindezi hivyo π
CCM wametia pamba maskioni bila kelele hawasikiiiHususani kwa wenye maoni na mitazamo tofauti na ya chama hicho?
Na kwanini viongozi wapya waandamizi wa chadema wamechagua mtindo wa kuropoka, kufokafoka na kugomba, wanapohutubia kwenye mikutano yao ya hadhara badala ya kusemezana taratibu na wanachama wao na kuwashawishi wananchi wengine kwa hekima na busara ili hatimae wawaunge mkono?
Hata ukifuatilia comments zote zenye mihemko, makasiriko na za matusi kwenye hoja hii muhimu sana, zote ni za wanachadema hiihii iliyopteza uelekeo na kusambaratika π
Mungu Ibariki Tanzania
Watu wajinga lazima wafokewe Kwa sababu ya upumbavu wao! Wameharibu mpaka wanafunzi wetu wa vyuo vikuu sasa hivi hawawezi tena kufikiri wanawaza uteuzi Kwa kueneza propaganda badala ya kulipa serikali mwelekeo na dira,Hususani kwa wenye maoni na mitazamo tofauti na ya chama hicho?
Na kwanini viongozi wapya waandamizi wa chadema wamechagua mtindo wa kuropoka, kufokafoka na kugomba, wanapohutubia kwenye mikutano yao ya hadhara badala ya kusemezana taratibu na wanachama wao na kuwashawishi wananchi wengine kwa hekima na busara ili hatimae wawaunge mkono?
Hata ukifuatilia comments zote zenye mihemko, makasiriko na za matusi kwenye hoja hii muhimu sana, zote ni za wanachadema hiihii iliyopteza uelekeo na kusambaratika π
Mungu Ibariki Tanzania
Kwa hali ilipofikia hakuna namna lazima wafokewe tu.Hususani kwa wenye maoni na mitazamo tofauti na ya chama hicho?
Na kwanini viongozi wapya waandamizi wa chadema wamechagua mtindo wa kuropoka, kufokafoka na kugomba, wanapohutubia kwenye mikutano yao ya hadhara badala ya kusemezana taratibu na wanachama wao na kuwashawishi wananchi wengine kwa hekima na busara ili hatimae wawaunge mkono?
Hata ukifuatilia comments zote zenye mihemko, makasiriko na za matusi kwenye hoja hii muhimu sana, zote ni za wanachadema hiihii iliyopteza uelekeo na kusambaratika π
Mungu Ibariki Tanzania
Nyie mnaongea pole pole kama mwizi anayenyatia DirishaniHususani kwa wenye maoni na mitazamo tofauti na ya chama hicho?
Na kwanini viongozi wapya waandamizi wa chadema wamechagua mtindo wa kuropoka, kufokafoka na kugomba, wanapohutubia kwenye mikutano yao ya hadhara badala ya kusemezana taratibu na wanachama wao na kuwashawishi wananchi wengine kwa hekima na busara ili hatimae wawaunge mkono?
Hata ukifuatilia comments zote zenye mihemko, makasiriko na za matusi kwenye hoja hii muhimu sana, zote ni za wanachadema hiihii iliyopteza uelekeo na kusambaratika π
Mungu Ibariki Tanzania
Lazima mafisadi na majizi mfokewe! Halafu sauti ya mwanaume siyo ya kumbeleza kama ya yule Boss wenu anayesema "naombeni mkalitazame na hili" huku sauti na macho vikiwa kwenye hatua ya juu kabisa ya kulegea.Hususani kwa wenye maoni na mitazamo tofauti na ya chama hicho?
Na kwanini viongozi wapya waandamizi wa chadema wamechagua mtindo wa kuropoka, kufokafoka na kugomba, wanapohutubia kwenye mikutano yao ya hadhara badala ya kusemezana taratibu na wanachama wao na kuwashawishi wananchi wengine kwa hekima na busara ili hatimae wawaunge mkono?
Hata ukifuatilia comments zote zenye mihemko, makasiriko na za matusi kwenye hoja hii muhimu sana, zote ni za wanachadema hiihii iliyopteza uelekeo na kusambaratika π
Mungu Ibariki Tanzania
mtu kama heche atakemea ufisadi gani wakati hata pension yake yote ya ubunge iliishia kwenye kubeti na ndio maana anaisha kwa wazazi mpaka leo?πLazima mafisadi na majizi mfokewe! Halafu sauti ya mwanaume siyo ya kumbeleza kama ya yule Boss wenu anayesema "naombeni mkalitazame na hili" huku sauti na macho vikiwa kwenye hatua ya juu kabisa ya kulegea.
Hiyo ni miondoko ya HipHop.Hususani kwa wenye maoni na mitazamo tofauti na ya chama hicho?