Gentleman umeandika weee kuhusu CDM sasa naona huna cha kuandika tenaππππHususani kwa wenye maoni na mitazamo tofauti na ya chama hicho?
Na kwanini viongozi wapya waandamizi wa chadema wamechagua mtindo wa kuropoka, kufokafoka na kugomba, wanapohutubia kwenye mikutano yao ya hadhara badala ya kusemezana taratibu na wanachama wao na kuwashawishi wananchi wengine kwa hekima na busara ili hatimae wawaunge mkono?
Hata ukifuatilia comments zote zenye mihemko, makasiriko na za matusi kwenye hoja hii muhimu sana, zote ni za wanachadema hiihii iliyopteza uelekeo na kusambaratika π
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Gentleman umeandika weee kuhusu CDM sasa naona huna cha kuandika tenaππππ
Uhai wa mwisho wa CDM!?πππGentleman,
ni bahati mbaya bandiko hili limekuja katika hatua za mwisho kabisaa za uhai wa chadema kisiasa nchini,
hata hivyo,
mabandiko yaliyobaki kuihusu chadema Lazima yapandishwe jukwaani kwa maslahi mapana ya ya wadau wa JF π
Bwasheee hoja dhidi ya upinzani umeishiwa umeona huibuke na hii?. Hivi kwa mtu uliyelelewa na wazazi vyema ukapelekwa shule ukasoma mpaka ulipoishia unaona hapo umetoa hoja ya msingi?.Hususani kwa wenye maoni na mitazamo tofauti na ya chama hicho?
Na kwanini viongozi wapya waandamizi wa chadema wamechagua mtindo wa kuropoka, kufokafoka na kugomba, wanapohutubia kwenye mikutano yao ya hadhara badala ya kusemezana taratibu na wanachama wao na kuwashawishi wananchi wengine kwa hekima na busara ili hatimae wawaunge mkono?
Hata ukifuatilia comments zote zenye mihemko, makasiriko na za matusi kwenye hoja hii muhimu sana, zote ni za wanachadema hiihii iliyopteza uelekeo na kusambaratika π
Mungu Ibariki Tanzania
Ndio mnataka kuifuta sio baada ya kugoma kufa?chadema is dead gentleman licha ya ubishi wa kugoma kuzikwa kaburini π
kuelekea kufutika kwa chadema kwenye medani ya siasa za Tanzania, ni muhimu kuibua miongoni mwa mambo muhimu yaliyosababisha kufutika huko kwa chadema kisiasa.Bwasheee hoja dhidi ya upinzani umeishiwa umeona huibuke na hii?. Hivi kwa mtu uliyelelewa na wazazi vyema ukapelekwa shule ukasoma mpaka ulipoishia unaona hapo umetoa hoja ya msingi?.
Tumefikia hatua kuwa mtu anatakiwa aongee kwa modality fulani Ili tumuelewe. Mode of presentation nayo ni ya kujadili kweli?. Aliyetufikisha hapa ni hatari kuliko Kansa.
Leta uthibitisho kwamba heche anaishi Kwa wazazi wakemtu kama heche atakemea ufisadi gani wakati hata pension yake yote ya ubunge iliishia kwenye kubeti na ndio maana anaisha kwa wazazi mpaka leo?π
sio vibaya mtu mzima kuishi kwa wazazi gentleman ila ni fedheha sana kwa mtu ambae aliwahi kua mbunge kufikia hatua hiyo, hakuna haja ya uthibitisho kuhusu jambo bayana kama hili πLeta uthibitisho kwamba heche anaishi Kwa wazazi wake
Totally rubbishkuelekea kufutika kwa chadema kwenye medani ya siasa za Tanzania, ni muhimu kuibua miongoni mwa mambo muhimu yaliyosababisha kufutika huko kwa chadema kisiasa.
bilashaka huo utambulisho wao ulisababisha wengi kusita kujiunga lakini pia, wengi wenye hekima na Busara kujiengua kwenye chama hicho π
unaweza kuwaeleza wadau wa JF kwa lugha nyingine nyepesi zaidi gentleman, ili twende sawa πWale walioamua kutumia mtindo wa kulamba masaburi ya boss wao je, kila mtu anaamua aishije. Kama hivi wewe na Co. ni mwendo wa kulamba masaburi tu.