Kwanini viongozi wapya wa CHADEMA wamechagua mtindo wa kufoka, wanapohutubia kwenye mikutano yao?

Kila siku nawambiaga yakuwa wanachadema wote wanaongozwa na hisia. Ispokuwa mbowe tu
 
sio vibaya mtu mzima kuishi kwa wazazi gentleman ila ni fedheha sana kwa mtu ambae aliwahi kua mbunge kufikia hatua hiyo, hakuna haja ya uthibitisho kuhusu jambo bayana kama hili 🐒
Hivi Mimi nikikutangazia wewe ni shoga ni sawa bila kuleta uthibitisho wa ushoga wako?
 
Wewe mbona upo na kadi ya chadema, ila kila diku iponda chadema na hatusemi, Bwana Bananga mdogo tuliza akili uliyopewa na Mungu
 
Wanafoka vipi?
Mbona unaongea maneno ya uchonganishi?
Uchonganishi in this case: kuwachonganisha Chadema na Polisi.
 
Kwa uzoefu Wang hata katika maisha ya kawaida mtu akikutanyia mabaya kupta kias njia ya kwenda nae sambamba ni kumshambulia kwa maneno na vitisho Kisha mtakaa meza ya mazungumzo na kupata suluhu* naona chadema mfumo huo kw Hali ilvyo hv sasa ndio unafaa wangeenda tofaut na hv ad hapa wangeshamalzwa wote. Zipo njia za kutatua changamoto 1. Kutatua kwa kutengeneza changamoto 2. Kuitatua changamoto moj kw moja
 
Hawana sera, au hawana uwezo wa kujenga hoja za sera za chama chao. Wanaongea porojo ndiyo maana wanafokafoka. Sera zinajengwa kwa hoja, huwezi kuongea sera kwa kufokafoka.
 
Hivi kweli kijana mzalendo unashabikia ccm wazi waz
Tuna mashaka na wewe
 
Ni identity tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…