Kwanini viongozi wapya wa CHADEMA wamechagua mtindo wa kufoka, wanapohutubia kwenye mikutano yao?


hapa
 

Attachments

Wanaamini eti kufokafoka ndio kuonesha msimamo! Ahahahahaha!
Haya yalikuwa ya kizamani sana!
 
Watakuwa wamejeruhiwa sana na watu wanaojulikana ambao hawatakiwi wajulikane, (wasiojulikana)

Kila binadamu ni kichaa ukitaka kujua ukichaa wa mtu subiri akikasirika sana

Everyone is mad and degree of madness is measured when someone is very angry 💢

Swali je unaweza ukawa umechukia muda wote ili hali ya ukichaa iendelee

Kuna mtu namfahamu kama ni kichaa hulitaja jina kangu Kila nikionana naye lakini mimi jina lake silijui cha ajabu mimi huwa sikumbuki majina ya watu wote ninao onana nao hata kama nawafahamu tukiachana kwa muda mrefu ili na mimi niwaite kabla sijawapa salaam

Huyo kichaa mara ya mwisho nimeonana naye zimepita siku 6 hivi lakini safari hii hakuniita kwa jina langu bali kwa ishara

Nilimkuta ana kalamu na daftari akanisemesha kwa kimombo kwa kuniuliza maswali yenye tungo tata kuhusu binadamu.

Swali la msingi ni hili hapa: 'why some people create problems for others'
 
Ukiona mtu anatabia ya kufokafoka hujue huyo ni mwana hip hup
 
Wanakemea Dhambi zenu kijani!
 
ndo sauti ya wanaume acha ukike
 
sio vibaya mtu mzima kuishi kwa wazazi gentleman ila ni fedheha sana kwa mtu ambae aliwahi kua mbunge kufikia hatua hiyo, hakuna haja ya uthibitisho kuhusu jambo bayana kama hili 🐒
Unanunisha wanaocheka!
 
Kijani hao!
 


Afadhali ungekuwa unajiuliza, kwa nini watu wengi wana akili timamu, halafu wewe u.ekosa hata ile akili ya kawaida.

Hata hili swali lako haliwezi kuulizwa na mtu mwenye akili timamu.

Pole sana kwa matatizo unayoyapitia.
 
Afadhali ungekuwa unajiuliza, kwa nini watu wengi wana akili timamu, halafu wewe u.ekosa hata ile akili ya kawaida.

Hata hili swali lako haliwezi kuulizwa na mtu mwenye akili timamu.

Pole sana kwa matatizo y
ikiwa hoja imekulemea huna haja ya kujiexpose kwa wadau kwamba uko empty in head gentleman, huoni aibu?🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…