Kwanini viongozi wengine wa CCM hawaendi kumuona Mzee Mangula hospitali?

Kwanini viongozi wengine wa CCM hawaendi kumuona Mzee Mangula hospitali?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Tumeona kwa macho Mh Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa ccm akimjulia hali Mzee Mangula ambaye alilazwa ICU baada ya kuanguka ghafla kwenye vikao vya ccm , na baadaye kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum Mtukufu Mambosasa akajitokeza kuitangazia dunia kwamba Mzee Mangula amelishwa sumu

Hoja yangu kwa leo ni ukimya wa viongozi wengine wa ccm kwenye jambo hili , taarifa zinaonyesha kwamba hata kwenye kumjulia hali mzee wa watu hospitali wamepotezea , kisa ni nini , je wamekatazwa , wamekatazwa na nani , kwanini?

Ikiwa kama Polepole ameruhusiwa kwenda Gerezani Segerea na kupiga picha na wafungwa , anashindwaje kwenda Muhimbili kumuona Mangula na kupiga naye picha ? mbona Lissu alivyolazwa Nairobi , Mzee Mwinyi na Mama Samia walikwenda kumjulia hali na kupiga naye picha , kulikoni kwa viongozi wengine kumsusa Mangula ?
 
Back
Top Bottom