Kwanini viongozi wengine wa CCM hawaendi kumuona Mzee Mangula hospitali?

Kwanini viongozi wengine wa CCM hawaendi kumuona Mzee Mangula hospitali?

Baada ya Mwenyekiti kuwatembelea kina Bulaya nani mwingine toka ufipa alikwenda.
 
Tumeona kwa macho Mh Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa ccm akimjulia hali Mzee Mangula ambaye alilazwa ICU baada ya kuanguka ghafla kwenye vikao vya ccm , na baadaye kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum Mtukufu Mambosasa akajitokeza kuitangazia dunia kwamba Mzee Mangula amelishwa sumu

Hoja yangu kwa leo ni ukimya wa viongozi wengine wa ccm kwenye jambo hili , taarifa zinaonyesha kwamba hata kwenye kumjulia hali mzee wa watu hospitali wamepotezea , kisa ni nini , je wamekatazwa , wamekatazwa na nani , kwanini?

Ikiwa kama Polepole ameruhusiwa kwenda Gerezani Segerea na kupiga picha na wafungwa , anashindwaje kwenda Muhimbili kumuona Mangula na kupiga naye picha ? mbona Lissu alivyolazwa Nairobi , Mzee Mwinyi na Mama Samia walikwenda kumjulia hali na kupiga naye picha , kulikoni kwa viongozi wengine kumsusa Mangula ?
Hivi huwa hamna kazi za kufanya..unamzungumzia mtu hata familia yake huijui Wala alipolazwa hupajui..umejuaje Kama hawaendi au unadhani kila kitu lazima kiwekwe kwenye magazeti na mitandao
 
Lile suala kuendelea kulirusha lingeharibu taswira ya chama kuwa watu wanauana so ukitaka muone kimyakimya maana watz wepesi kusahau usipokumbushia kumbushia
 
Back
Top Bottom