Kwanini viongozi wengine wa CCM hawaendi kumuona Mzee Mangula hospitali?

Kwanini viongozi wengine wa CCM hawaendi kumuona Mzee Mangula hospitali?

Kuna Siri kubwa Sana nyuma ya hili tukio la KULISHWA SUMU KWA MZEE MANGULA....!
Inavoonekana Kuna siri-kali ya kuja kuwahusisha Wanasiasa wa Upinzani na hii scandal pamoja na wale wanaopingana na Jiwe kama Benard Membe na wengineo..!
 
Mtu amepewa sumu na mtoa sumu hajulikani, je utaruhusu kila mtu kwenda kumuona? Wakati mwingine hekima na busara muhimu
Kabla ya hiyo sumu alikuwa na watu wawili tu , na wanajulikana , labda kama mnataka kuleta ya Akwilina
 
Vitu vingine ni kuandika upumbavu,maana ni mada ambazo hazina sense or logic.We unajuaje hawajaenda? Au mpaka waandike na kupiga nae picha kwenye gazeti!
 
Mtu amepewa sumu na mtoa sumu hajulikani, je utaruhusu kila mtu kwenda kumuona? Wakati mwingine hekima na busara muhimu
Wasijikaushe,
Suspect wa kwanza ni wajumbe wote wa Kikao/Vikao. Wa pili ni wahudumu wa hivyo Vikao. Wa mwisho ni wa nyumbani kwake na yeyote anaeshukiwa kuwa aliyonekana na wanaoshukiwa kuwa ni wa CDM. Ila kwa Policcm yetu chini ya uongozi mahili wa shetani, wakipata upenyo hawa wa mwisho ndio watalazimisha wawe suspect wa kwanza. Amen
 
Vitu vingine ni kuandika upumbavu,maana ni mada ambazo hazina sense or logic.We unajuaje hawajaenda? Au mpaka waandike na kupiga nae picha kwenye gazeti!
Kijana we endelea kulipwa elfu 7 kwa kila andiko lako hapa jf , hili la Mangula limekuzidi umri
 
Back
Top Bottom