Kwanini viongozi wengine wa CCM hawaendi kumuona Mzee Mangula hospitali?

Aiseeee !!!
 
Wanaogopa corona mkuu. Subiri corona ikiisha wataenda kupiga naye selfie. Mwenyezi Mungu amruzuku afya Mzee Mangula.
 
WANAKUSUBIR UANZE WEWE WATAFWATA
 
Hivi bado kalazwa mpaka leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo sio dizaini ya Lissu kila mmoja lazima auze sura!
 
Kwani bado yupo hospital ?? Dah pole kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajua kwamba ugonjwa anao umwa umesababiswa na mwenyekiti wao wala sio tatizo la Mungu.Maana kulishana masumu ni kawaida yao. Mike Pompeo anasema hawa jamaa wanadhulumu haki za watu za kuishi tushukuru tuu mzee apone ila hii haikuwa kazi ya wazee wa Ruangwa bali ni ya Bashite na Daddy ake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora Mungu ampende zaidi, tupunguze viongozi wetu wajinga,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…