Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 881
- 2,569
Kuna watu wakitoka ofisini na katiba ikifanyiwa marekebisho wanaweza kujikuta wana kesi nyingi kuliko Yule kiongozi wa Boko HaramKabla ya hiyo sumu alikuwa na watu wawili tu , na wanajulikana , labda kama mnataka kuleta ya Akwilina
Ulishaelezwa yupo wapi?Kwani bado yupo?
si mueleze basi ?Ulishaelezwa yupo wapi?
Eti polepole anamjua aliyemtenda mzee Mangu........
Waliompa sumu ni hao hao CCM
Halafu wanavyojibalaguza sasa, ila mi nimependa wanavyowindana wao kwa waoHiyo haina ubishi
In God we Trust
Halafu wanavyojibalaguza sasa, ila mi nimependa wanavyowindana wao kwa wao
Nashangaa mambosasa hawakamati hawa wahuni wa ccm
Ngoja tuone
Hivi huwa hamna kazi za kufanya..unamzungumzia mtu hata familia yake huijui Wala alipolazwa hupajui..umejuaje Kama hawaendi au unadhani kila kitu lazima kiwekwe kwenye magazeti na mitandaoTumeona kwa macho Mh Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa ccm akimjulia hali Mzee Mangula ambaye alilazwa ICU baada ya kuanguka ghafla kwenye vikao vya ccm , na baadaye kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum Mtukufu Mambosasa akajitokeza kuitangazia dunia kwamba Mzee Mangula amelishwa sumu
Hoja yangu kwa leo ni ukimya wa viongozi wengine wa ccm kwenye jambo hili , taarifa zinaonyesha kwamba hata kwenye kumjulia hali mzee wa watu hospitali wamepotezea , kisa ni nini , je wamekatazwa , wamekatazwa na nani , kwanini?
Ikiwa kama Polepole ameruhusiwa kwenda Gerezani Segerea na kupiga picha na wafungwa , anashindwaje kwenda Muhimbili kumuona Mangula na kupiga naye picha ? mbona Lissu alivyolazwa Nairobi , Mzee Mwinyi na Mama Samia walikwenda kumjulia hali na kupiga naye picha , kulikoni kwa viongozi wengine kumsusa Mangula ?
hoja ya kijinga sana !Baada ya Mwenyekiti kuwatembelea kina Bulaya nani mwingine toka ufipa alikwenda.
Mbona haina tofauti sana na yako??hoja ya kijinga sana !
Nawe kuna siku utavunjwa vunjwaErythrocyte,
Mbona wale waliovunjwa vunjwa hamleti picha zao hapa mkitoka kuwaona bwashee?!
Unataka kuleta chuki kati ya wananchi na jeshi la polisi?