The branding
Senior Member
- Apr 17, 2022
- 186
- 320
Nikiangalia vyanzo mbali mbali vya milengo yote nimegundua kuwa, Israel hana presha kama ile aliyo kuwa nayo gaza. Nimegundua sababu zifuatazo:
1. Pre-emptive strike iliyopelekea kumuua Nasrallah iliwavunja moyo(nitampiga mchungaji na kondoo watatawnyika)
2. Uzoefu walio upata gaza. Ikumbukwe gaza na hesbollah wote wanatumia the same military
Doctrine(mahandaki/kujificha kwenye mashimo kama panya, na kutumia kinga ya binadamu(human shield strategy)/kutumia miundombinu ya uma kama shule, hospitali, n. k
3.Hesbollah hawakuteka mtu hivyo Israel hawana presha yoyote ya ndani ya nchi.
4. Vita hii ina sapotiwa na wananchi kwani kuna raia walio hamishwa kutokana na maroketi ya marq kwa mara tokea tarehb7-october.
Mwisho wa uchambizi: Pumba zina ruhusiwa, na sorce ni mimi mwenyewe. 🤣