Kwanini vita ya Hesbollah vs Israel vimekuwa virahisi kuliko ilivyo dhaniwa?

Kwanini vita ya Hesbollah vs Israel vimekuwa virahisi kuliko ilivyo dhaniwa?

Mimi siyo mshabiki wa pande zo zote! Lakini hakuna vita ambayo Israel inapoteza askari wengi na kupata majeruhi wengi kama hii ya Lebanoni!
Na hasa hasa hii Ground operation aliyofanya South Lebanon.
 
UONGO,

Wahalifu ni magaidi wanaoweka kambi zao kwenye makazi ya raia, na mara nyingi iDF huwaambia raia kuhama kabla ya kushusha kipondo. Wanaokaidi maelekezo ni washirika na machawa wa magaidi au magaidi wenyewe.

Kwa mfano, Nasrallah na wenzake walipouliwa walikuwa ndani ya mahandaki eneo ambalo juu yake kulikuwa na maghorofa kadhaa ya apartments, makazi ya raia.

Hivi kama magaidi wanarusha maroketi na drones kutokea ndani ya misikiti, hospitali, makanisa, shule, nk unataka iDF watulie tu waendelee kupigwa?!

Hata wewe ukihifadhi ndani ya nyumba yako nyoka anayedhuru na kuua watu unafikiri utaachwa tu?
We ndio unajiona mkweli?
Hata hizo nchi za ulaya zimeanza kumkataa maana wanaona upuuzi anaofanya
Ushazoea kulishwa tango pori
 
UONGO,

Wahalifu ni magaidi wanaoweka kambi zao kwenye makazi ya raia, na mara nyingi iDF huwaambia raia kuhama kabla ya kushusha kipondo. Wanaokaidi maelekezo ni washirika na machawa wa magaidi au magaidi wenyewe.

Kwa mfano, Nasrallah na wenzake walipouliwa walikuwa ndani ya mahandaki eneo ambalo juu yake kulikuwa na maghorofa kadhaa ya apartments, makazi ya raia.

Hivi kama magaidi wanarusha maroketi na drones kutokea ndani ya misikiti, hospitali, makanisa, shule, nk unataka iDF watulie tu waendelee kupigwa?!

Hata wewe ukihifadhi ndani ya nyumba yako nyoka anayedhuru na kuua watu unafikiri utaachwa tu?
Wanacho kifanya IDF kingefanywa na jeshi lolote linalo jielewa. Sheria za kimataifa vilevile haziruhusu kujificha kwenye majengo ya umma. Sasa haya makundi yenyewe yanazivunja then yanataka yaachwe!
Kipindi cha mashambulizi ya west gate kule kenya yalifanyika kwenye mall, sasa kuna watu ukipiga mall watakwambia umepiga raia.
Please kobazi, token nje vaeni kombati mkapigane tuone. Kabla ya hii vita tulikuwa tunawaona hesbollah wakiwa kwenye kombati lakini tokea vita ianze sijui walizificha wapi🤣
 
Israel inaongoza kuua raia tokea Vita ainze wao wanadili na raia
Akili za makondoo zinashangilia
 
Nakupongeza sana kwa uchambuzi wako makini. Niongezee tu kidogo na Iile Operation Beeper iliwasaidia sana kuwashinda Magaidi wa Hezboullah kikubwa ni hiyo Pre-emptive strike iliwainua sana kwenye uwanja wa medani inasemekana Askari wa Israel kikosi maalumu( Special-Force kiliingia ndani ya Lebanon miezi 6 iliyopita kwa hiyo waliweza kuratibu vizuri wapi yalipo mahandaki ya Hezboullah ndiyo maana walipoingia rasmi hawakuhangaika sana maana walikuwa nayo Road-Map.
Huo urahisi unauona ww myahudi wa chambawima.
Mpaka sasa ni wiki tatu tangu Israel ipeleke wanajeshi wake kwenye mpaka wa Lebanon lakini mpaka sasa wameshindwa kuingia ndani ya Lebanon hata kwa km 2 kila wakijaribu kusonga mbele wanapingwa na kurudishwa nyuma.
Alafu kingine mpaka sasa haijatangaza vita na Israel haya yanayo endelea sasa wanaichukulia kama mapigano madogo yaliyo anza mwaka jana October 8.
 
Wenzio wanatoa video za zamani za Herzi halevi , watu washalamba kichwa ....Wanatengeneza robot huko maana wataawangusha wale wanaoamini ni taifa ya Mungu .

Herzi Halevi wanatengeneza clone yake maana walisharamba kichwa , wanasema jamaa alihutubia ila videoa zina glitches zikiwa zimetengenezwa tena za zamani .
 
Wanacho kifanya IDF kingefanywa na jeshi lolote linalo jielewa. Sheria za kimataifa vilevile haziruhusu kujificha kwenye majengo ya umma. Sasa haya makundi yenyewe yanazivunja then yanataka yaachwe!
Kipindi cha mashambulizi ya west gate kule kenya yalifanyika kwenye mall, sasa kuna watu ukipiga mall watakwambia umepiga raia.
Please kobazi, token nje vaeni kombati mkapigane tuone. Kabla ya hii vita tulikuwa tunawaona hesbollah wakiwa kwenye kombati lakini tokea vita ianze sijui walizificha wapi🤣
Mkuu hao jamaa wakivaa sare vita vitakua vyepesi sana. Lakini wanavaa mpaka hijabu wanaacha macho tu Kama mademu alafu nakaa na raia kwenye makazi
 
Wenzio wanatoa video za zamani za Herzi halevi , watu washalamba kichwa ....Wanatengeneza robot huko maana wataawangusha wale wanaoamini ni taifa ya Mungu .

Herzi Halevi wanatengeneza clone yake maana walisharamba kichwa , wanasema jamaa alihutubia ila videoa zina glitches zikiwa zimetengenezwa tena za zamani .
Una uhakika au mmefundishwa kuwa waongo na wanafiki kwenye dini yenu
 
Hezbolllaah hawana kabisa uwezo tulio dhania, wamepigwa vibaya sana within short time na hadi Mkuu wao kauawa, kumbe mbwa mwenye makelele mengiiiiii hana lolote, yaani kwisha kabisa Hezbollaah
 
Una uhakika au mmefundishwa kuwa waongo na wanafiki kwenye dini yenu
Mbona unalia sasa dogo ? 😀 😀 😀 mnalet video za zamani ...Semeni tu ukweli ?

Jamaa si angekuja akaongea mbona mnaleta kipande kidogo kabla ya tukio .
 
Kilichosababisha vita ya Gaza ikawa ngumu ni jambo moja tu: wale mateka wa Israel zaidi ya 200 waliotekwa na magaidi wa Hamas kufuatia ule uvamizi, mauaji na utekaji kwenye tamasha la watoto October 7, na kufichwa kwenye mashimo ya Gaza..

Illikuwa iDF wakitaka kuangamiza wote waliomo ndani ya mashimo ya Gaza kwa kuingiza gesi ya sumu, kujaza maji ya bahari au kulipua, ndugu za mateka na raia wanapinga sana. Bila mateka ile vita ingeisha kitambo sana
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-17-08-24-18-164.jpg
    Screenshot_2024-10-17-08-24-18-164.jpg
    438.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_2024-10-17-08-31-11-881.jpg
    Screenshot_2024-10-17-08-31-11-881.jpg
    369.9 KB · Views: 3
Nani kakudanganya ndugu yangu, ndani ya mwezi mmoja huko Hizbullah, Israel imepoteza askari wengi kuliko mwaka mmoja wa kule Gaza.
sasa wee endelea kudanganywa na CNN
 
Hiyo vita labda wewe ndo waiona rahisi. Vita hii ni ngumu sana. Tofauti na Gaza hamas Hezbollah Wana makombora mazito mazito. Lakini pia vita hii ni ngumu kwasababu ya matumizi makubwa ya dronivita baina y pande mbili hizi.
Matumizi haya ya droni yamekuwa yakilimit Kwa kiasi kikubwa uwezo wa pande hizo kutumia mbinu mbalimbali za wazi za kimapigano yaani section, platoon nk
Hayo makombora mazito yepi mbona hatuyaoni au yanasubiri amri ya Hassan Nasraillah?
 
Nani kakudanganya ndugu yangu, ndani ya mwezi mmoja huko Hizbullah, Israel imepoteza askari wengi kuliko mwaka mmoja wa kule Gaza.
sasa wee endelea kudanganywa na CNN
Vifo vya askari wa IDF havifichwi maana akifa mwanajeshi Cha kwanza familia inapewa taarifa hiyo inakuwa sio Siri tena watu watajua tu na hata IDF wenyewe askari akifa wanatangaza vizur tu kwahiyo kauli ya kusema askari wengi wa Israel wameuwawa huko Lebanon ni story kutoka masjid endeleeni nyinyi kuziamini.
 
Back
Top Bottom