Kwanini vita ya Hesbollah vs Israel vimekuwa virahisi kuliko ilivyo dhaniwa?

Mimi siyo mshabiki wa pande zo zote! Lakini hakuna vita ambayo Israel inapoteza askari wengi na kupata majeruhi wengi kama hii ya Lebanoni!
Na hasa hasa hii Ground operation aliyofanya South Lebanon.
 
We ndio unajiona mkweli?
Hata hizo nchi za ulaya zimeanza kumkataa maana wanaona upuuzi anaofanya
Ushazoea kulishwa tango pori
 
Wanacho kifanya IDF kingefanywa na jeshi lolote linalo jielewa. Sheria za kimataifa vilevile haziruhusu kujificha kwenye majengo ya umma. Sasa haya makundi yenyewe yanazivunja then yanataka yaachwe!
Kipindi cha mashambulizi ya west gate kule kenya yalifanyika kwenye mall, sasa kuna watu ukipiga mall watakwambia umepiga raia.
Please kobazi, token nje vaeni kombati mkapigane tuone. Kabla ya hii vita tulikuwa tunawaona hesbollah wakiwa kwenye kombati lakini tokea vita ianze sijui walizificha wapi🤣
 
Israel inaongoza kuua raia tokea Vita ainze wao wanadili na raia
Akili za makondoo zinashangilia
 
Huo urahisi unauona ww myahudi wa chambawima.
Mpaka sasa ni wiki tatu tangu Israel ipeleke wanajeshi wake kwenye mpaka wa Lebanon lakini mpaka sasa wameshindwa kuingia ndani ya Lebanon hata kwa km 2 kila wakijaribu kusonga mbele wanapingwa na kurudishwa nyuma.
Alafu kingine mpaka sasa haijatangaza vita na Israel haya yanayo endelea sasa wanaichukulia kama mapigano madogo yaliyo anza mwaka jana October 8.
 
Wenzio wanatoa video za zamani za Herzi halevi , watu washalamba kichwa ....Wanatengeneza robot huko maana wataawangusha wale wanaoamini ni taifa ya Mungu .

Herzi Halevi wanatengeneza clone yake maana walisharamba kichwa , wanasema jamaa alihutubia ila videoa zina glitches zikiwa zimetengenezwa tena za zamani .
 
Mkuu hao jamaa wakivaa sare vita vitakua vyepesi sana. Lakini wanavaa mpaka hijabu wanaacha macho tu Kama mademu alafu nakaa na raia kwenye makazi
 
Una uhakika au mmefundishwa kuwa waongo na wanafiki kwenye dini yenu
 
Hezbolllaah hawana kabisa uwezo tulio dhania, wamepigwa vibaya sana within short time na hadi Mkuu wao kauawa, kumbe mbwa mwenye makelele mengiiiiii hana lolote, yaani kwisha kabisa Hezbollaah
 
Una uhakika au mmefundishwa kuwa waongo na wanafiki kwenye dini yenu
Mbona unalia sasa dogo ? 😀 😀 😀 mnalet video za zamani ...Semeni tu ukweli ?

Jamaa si angekuja akaongea mbona mnaleta kipande kidogo kabla ya tukio .
 
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-17-08-24-18-164.jpg
    438.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_2024-10-17-08-31-11-881.jpg
    369.9 KB · Views: 3
Nani kakudanganya ndugu yangu, ndani ya mwezi mmoja huko Hizbullah, Israel imepoteza askari wengi kuliko mwaka mmoja wa kule Gaza.
sasa wee endelea kudanganywa na CNN
 
Hayo makombora mazito yepi mbona hatuyaoni au yanasubiri amri ya Hassan Nasraillah?
 
Nani kakudanganya ndugu yangu, ndani ya mwezi mmoja huko Hizbullah, Israel imepoteza askari wengi kuliko mwaka mmoja wa kule Gaza.
sasa wee endelea kudanganywa na CNN
Vifo vya askari wa IDF havifichwi maana akifa mwanajeshi Cha kwanza familia inapewa taarifa hiyo inakuwa sio Siri tena watu watajua tu na hata IDF wenyewe askari akifa wanatangaza vizur tu kwahiyo kauli ya kusema askari wengi wa Israel wameuwawa huko Lebanon ni story kutoka masjid endeleeni nyinyi kuziamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…