Kwa kuwa hao vigogo wa CCM, wanajua kuwa kauli mbiu yao ni mtu atakula kutokana na urefu wa kamba yake!Huu ni uzi wenye msingi wA swali nini kinawatishia Raisi Samia Suluhu Hassani, Makamu wake na wadhibiti wa rushwa Tanzania kupigana vita ya Ufisadi?
Je, wanaogopa kufa kifo kama kilichomuua Mwendazake? Vitendo vya wizi wa mali za umma vinazid kuongezeka kila kukicha, watumishi wa umma wamegeuka michwa.
Tozo zinazolipwa na watanzania wa hali ya chini zinapigwa kama njugu. Je, nini chanzo wakuu? Kassimu Majaliwa amekuwa mtu pekee anayepinga vitendo hivyo, wale walioshirikiana na Mzee Magu kupigana vita hii sasa wako kimya.
Je, Magufuli alikuwa na wezi wa mali za umma?
Nisamehe kaka sirudiii Tena nisamehewe mkuu wangu
Kwa sababu Kassim ni muongo sana sana, au umesahau?Huu ni uzi wenye msingi wA swali nini kinawatishia Raisi Samia Suluhu Hassani, Makamu wake na wadhibiti wa rushwa Tanzania kupigana vita ya Ufisadi?
Je, wanaogopa kufa kifo kama kilichomuua Mwendazake? Vitendo vya wizi wa mali za umma vinazid kuongezeka kila kukicha, watumishi wa umma wamegeuka michwa.
Tozo zinazolipwa na watanzania wa hali ya chini zinapigwa kama njugu. Je, nini chanzo wakuu? Kassimu Majaliwa amekuwa mtu pekee anayepinga vitendo hivyo, wale walioshirikiana na Mzee Magu kupigana vita hii sasa wako kimya.
Je, Magufuli alikuwa na wezi wa mali za umma?
Kwani zile Tilioni 2 zilipigwa awamu ipi.Huu ni uzi wenye msingi wA swali nini kinawatishia Raisi Samia Suluhu Hassani, Makamu wake na wadhibiti wa rushwa Tanzania kupigana vita ya Ufisadi?
Je, wanaogopa kufa kifo kama kilichomuua Mwendazake? Vitendo vya wizi wa mali za umma vinazid kuongezeka kila kukicha, watumishi wa umma wamegeuka michwa.
Tozo zinazolipwa na watanzania wa hali ya chini zinapigwa kama njugu. Je, nini chanzo wakuu? Kassimu Majaliwa amekuwa mtu pekee anayepinga vitendo hivyo, wale walioshirikiana na Mzee Magu kupigana vita hii sasa wako kimya.
Je, Magufuli alikuwa na wezi wa mali za umma?
Alifanya hivyo Magufuli mkalalama ni One Man's show. Mama amekasimu maadaraka nayo ni kero🥺🥺Huu ni uzi wenye msingi wA swali nini kinawatishia Raisi Samia Suluhu Hassani, Makamu wake na wadhibiti wa rushwa Tanzania kupigana vita ya Ufisadi?
Je, wanaogopa kufa kifo kama kilichomuua Mwendazake? Vitendo vya wizi wa mali za umma vinazid kuongezeka kila kukicha, watumishi wa umma wamegeuka michwa.
Tozo zinazolipwa na watanzania wa hali ya chini zinapigwa kama njugu. Je, nini chanzo wakuu? Kassimu Majaliwa amekuwa mtu pekee anayepinga vitendo hivyo, wale walioshirikiana na Mzee Magu kupigana vita hii sasa wako kimya.
Je, Magufuli alikuwa na wezi wa mali za umma?
Ufisadi umekuwa Kwa Kasi sana ,Hadi mafisadi wmeota funza kilichobakia ni wao kufa Kwa kuliwana funza wa ufisadi🤔Huu ni uzi wenye msingi wA swali nini kinawatishia Raisi Samia Suluhu Hassani, Makamu wake na wadhibiti wa rushwa Tanzania kupigana vita ya Ufisadi?