Kwanini vita ya Ufisadi inapiganiwa na Kassimu Majaliwa na sio Rais Samia au Makamu wake wala TAKUKURU awamu hii?

Kwanini vita ya Ufisadi inapiganiwa na Kassimu Majaliwa na sio Rais Samia au Makamu wake wala TAKUKURU awamu hii?

Takukuru ifumuliwe iundwe upyaaa! Kwasasa hamnakitu inafanya
 
Diblo Dibala miyeyusho sana,watumishi wa Jiji Dar walipiga hela za parking,akawapa myda eti warudishe alafu leo anashangaa kibanda Cha mlinzi cha 11 milioni.

Mkuu umesahau yule mtu aliyekutwa kajiunganishia bomba la mafuta akaunda na kamati, kisha akasema baada ya siku 7 atatoa taarifa kwa umma. Mpaka leo kimya.
 
Kwa sababu namba moja hajachaguliwa na wananchi.Hivyo haoni umhimu wa kupambana na rushwa
 
Mkuu umesahau yule mtu aliyekutwa kajiunganishia bomba la mafuta akaunda na kamati, kisha akasema baada ya siku 7 atatoa taarifa kwa umma. Mpaka leo kimya.
🤣🤣🤣 zipo kamba nyingi tu jamaa katupiga, ripoti ya mlipuko wa Lori la mafuta Morogoro na ripoti ya kuungua soko la kariakoo!
Huyu jamaa muongo sana!!
 
Na imeondoa neno Magendo kwenye mazao ya kuuza Nje wakati mwenye mazao hasaidiwi na anayetumia neno magendo!
 
Majaliwa mwenyewe hapigani vita ya rushwa. Kama angekuwa anapigana vita hiyo angeanza na tenda ya vishikwambi ,akaenda kwenye kibanda cha milioni 13 wizara ya maji na akamlizia na kibanda cha milioni 11.

Kasimu anafanya futuhi ya rushwa tu
Bila kusahau angedili pia na wale wezi waliotajwa na CAG
 
Takukuru ifumuliwe iundwe upyaaa! Kwasasa hamnakitu inafanya
TAKUKURU ahiitaji kufumuliwa bali inahitaji kupewa uhuru. Yenyewe ndiyo ichunguze na ishitaki kwenye mahakama yake kwa kuombwa bila kulazimishwa ama kuamuliwa na Kila kiongozi!
 
Back
Top Bottom