ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hii imekaaje kaaje wakuu kwenye vyombo vya Habari tunaona mashambulizi baina ya Russia na Ukraine sio makali kivile yaani unakuta wanarusha bomu ila linaharibu tu upande wa jengo hatusikii takwimu za kutisha watu kufa ukilinganisha na vita ya Israel pale Gaza yaani ghorofa linapigwa kweli kuanzia chini Mpaka juu linaangushwa Kwa siku utasikia watu 2000 wamekufa kawaida kabisa.
Ila ukija kwenye takwimu zile official unakuta troops zaidi ya 500000 yaani laki tano na zaidi wamekufa Russia na Ukraine na zaidi ya watu million kujeruhiwa ila Israel pamoja na ukatili wake mauaji ya kimbari unakuta ni watu kama 30000 Mpaka sasa Kwa mujibu wa hamas wenyewe.
Hivyo nikataka nijue mbona takwimu ya Ukraine inashtua lakini katika vyombo vya Habari impact za mabomu yake ni kawaida Mara usikie bomu limerushwa sehemu wamekufa watatu Mara bomu limetupwa karibu na Kremlin ikulu huko Moscow na halijaua mtu yaani ni kama imekaa kuharibu tu miundombinu hivi.