Sioni hoja yenye nguvu kuthibitisha hili maana nao watumwa walikuwa watu wenye viungo vya uzazi vya kuendeleza vizazi vya waafrika.
Hata waafrika wengi unaowakuta nchi za kiarabu ni wale waliohamia kikazi, biashara, n.k. na wengine wana wajukuu tayari.
Mfano Marekani, Brazil, n.k. tunaona waafrika waliobaki, kwanini nchi za kiarabu hawapo?
LAKINI UPANDE UNAONICHANGANYA ni kwamba Quran imekiri tangu enzi za mtume Muhammad kulikuwa na watumwa weusi mmoja wao akiitwa bilal ibn rabah, hapa nashindwa kuelewa inakuwaje hawakuendeleza kizazi.