Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,135
- 3,392
Tatizo ni kuvisoma ukiwa mtu mzima.Nirudi kwenye mada kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimesoma baadhi ya vitabu vya Kiswahili vya kizamani kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Bunuasi, Safari ya Bulicheka na Mkewe, Alibaba na Wezi 40, Kusadikika na vingine vingi lakini kiukweli nimeshindwa kuvielewa naona kama maudhui yake si ya mtu mzima!
Nimesoma vingi sana baada ya miaka mingi kuona humu JF watu wakivisifisia sana. Hivi vitabu au vimelenga wazee? Au me ndo akili ndogo?
Havijanivutia kabisa yaan ni vitabu vya kitoto