Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kitambi sio kiporoVijijini hakuna wanawake wenye vitambi wala wanaume pamoja na kwamba wanakula viporo na lishe isiyo bora kama mjini.
Je, watu wa town nao waishi kwa viporo na vyakula kama vijijini?
Huku mjini wakishabofya bofya kompyuta sjui kushika mafailiWatu wa kijijini wanapiga kazi sana , hata ale wali na ugali bado sio kesi maana chakula kinatumika
Maisha huko mtu anaamka anatoka saa 12 asubuhi anaenda kwenye mishe zake shambani tena anatembea kilomita kadhaa, anarudi saa 12 jioni
Kwa style hiyo kitambi kitapatikanaje
Ova
Huku mjini wakishabofya bofya kompyuta sjui kushika mafaili
Anakuambia nmechoka kwerikweri
[emoji1]
Ova
Vijijini wanakula vyakula vyenye afyaVijiji vingi vina ufukara wa hali ya juu.. vyakula wanavyokula ni duni na hata kumudu kula vyakula vyenye mafuta mafuta ni tatizo. Ukijumlisha na mihangaiko mingine basi automatically no kitambi
Uvivu unafanya tunenepe
Mnawaza vitambi tu na kulakula. Fanyeni kazi nyie.Vijijini hakuna wanawake wenye vitambi wala wanaume pamoja na kwamba wanakula viporo na lishe isiyo bora kama mjini.
Je, watu wa town nao waishi kwa viporo na vyakula kama vijijini?