sportstore
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 497
- 1,769
Kijijini physical activities kibao..kutembea, kulima, kukata kuni, etc ,pili vyakula vyao vyote ni asili so digestion mwili inatembea vizuri...mjini asilimia kubwa wenye vitambi hawana physical activities zozote..gari to ofisini, kukaa kwenye kiti siku nzima...asubuhi hadi usiku wanga na mafuta lazima kitambi kitoke.