Kwanini vitambi hakuna vijijini wakati wamama na wanaume hula viporo?

Kijijini physical activities kibao..kutembea, kulima, kukata kuni, etc ,pili vyakula vyao vyote ni asili so digestion mwili inatembea vizuri...mjini asilimia kubwa wenye vitambi hawana physical activities zozote..gari to ofisini, kukaa kwenye kiti siku nzima...asubuhi hadi usiku wanga na mafuta lazima kitambi kitoke.
 
Wewe umetembea vijiji vingapi?

Na hiyo research yako umeifanyia maeneo mangap?
 
Maisha yetu huku kijijini ni mazoezi tosha.

Ila wenye vitambi wapo, japo ni wachache, wengine unene ni asili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…