Akwota
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 791
- 633
Daa!,Pole sana mkuu,Vodacom kwakweli kwa hili hawatendk wakiitwa wezi wasilalamike,ndo maana niliacha kutumia voda kwenye mambo ya DATA...natumia kampuni nyingine kabisa.!you might be true my friend!
Several time imenitokea, data ya bundle yangu imeisha, nanunua vocha nikiweka (NAZIMA DATA KABLA KUWEKA), nikitaka kuunga bundle naambiwa salio halitoshi! Mara nyingi sana imenitokea hii
Mfano jana tu!
bundle limeisha, nikazima data nikaweka vocha ya 5000 kununua bundle naambiwa salio halitoshi, kuangalia salio nakuta 4847 sasa nauliza hiyo nyingine imeenda wapi? mbona sijawaambia wanikopeshe?