Kwanini Vodacom huwa wanaiba salio la mteja?

Kwanini Vodacom huwa wanaiba salio la mteja?

It seems hizi computer zao zinazoregulate mitandao yao wana uwezo kuifanya MB ziende haraka au kidogo kidogo. Nachulkulia mfano wa bomba la maji, ......... ukifungua koki mpaka mwisho yatatoka kwa wingi. sasa Voda wana uwezo wa kufanya hivyo...... 😀 😀 😀 😀 😀 looks funny but this is what they are doing.
1685526165652.png
 
Back
Top Bottom