Kwanini Vodacom huwa wanaiba salio la mteja?

Daa!,Pole sana mkuu,Vodacom kwakweli kwa hili hawatendk wakiitwa wezi wasilalamike,ndo maana niliacha kutumia voda kwenye mambo ya DATA...natumia kampuni nyingine kabisa.!
 
Vodacom ni wezi hatari! Usiache salio Kwenye sim imekula kwako, mm nishapigwa sana, ukiacha 500,300 au 200 hesabu maumivu
 
Hivi TCRA mbona wanakamataga watu wanaweka vitu ambavyo havitakiwi kwenye mitandao (JF ikiwa mojawapo na hadi kiongozi wetu Mexene ana kesi mahakamani) ina maana haya malalamiko ya wateja kuwahusu Voda huaga hawayaoni? Binafsi sina hamu na voda kabisa, mimi nimeisha ibiwa sana na hawa so line yao kwasasa ni kwa ajili ya kununulia umeme na malipo mengine ya mpesa
 
Hao wakurugenzi wao kutoka nje ndio wanakuja Tz kutufilisi watanzania itakua,ndio maana mkurugenzi wao lazima atoke nje.magufuli awanyooshe tu
 
Hivi hadi leo voda wamegoma kuacha kukata salio kwa mfumo wa wizi? Nimekatwa tena. Basi tuamini kuna mgao wa wasimamia sheria
 


Nenda nyumbani kumenoga
 
Mi nipo sehemu network ya airtel inasumbua nikajiongeza kununua data za voda za jero tu 246mb, aiseee

Nmewasha tu data imekuja sms kuwa nimebakiwa na mb 15 na data saver ipo on
 
Mi nipo sehemu network ya airtel inasumbua nikajiongeza kununua data za voda za jero tu 246mb, aiseee

Nmewasha tu data imekuja sms kuwa nimebakiwa na mb 15 na data saver ipo on
EXACTLY INAVYOTOKEA KWANGU
 
Nilijua ni mimi tu peke yangu.

Kuchat Whatsapp bila kudownload na kuperuzi JF 700MB zikakata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…