Uchaguzi 2020 Kwanini vyama vya siasa havina mabango ya kampeni mitaani ila CCM tu?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Uchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani.

Hii Ina maana gani kwa uchaguzi?

Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Tume, Msajili au Serikali?
 
Uchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani.

Hii Ina maana gani kwa uchaguzi?

Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Time, Msajili au Serikali?
Kwakuwa Nchi hiyo inaongozwa na J ini P ungwani M uuaji!
 
Uchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani.

Hii Ina maana gani kwa uchaguzi?

Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Time, Msajili au Serikali?
Serikali imezuia.
 
pesa za kuprint mabango mwenyekiti kazitunza,halafu wale marapa wanaaambiwa waseme chama kinapendwa hakuna haja ya mabango.

sometime huwa naamini wanaoshabikia chadema ni wagonjwa wa akili.jamaa wana hoja sana mdomoni,ila matendo yao ndio yanatia uwoga kuliko hata hao ccm.
 
U

Unachosema unakosea ndugu yangu. Mbona Mimi nashabikia CHADEMA lakini sina ugonjwa wa akili? Jaribu kuangalia maneno ya kutumia unapotaka kutetea hoja yako.
 
pesa za kuprint mabango mwenyekiti kazitunza,halafu wale marapa wanaaambiwa waseme chama kinapendwa hakuna haja ya mabango.

sometime huwa naamini wanaoshabikia chadema ni wagonjwa wa akili.jamaa wana hoja sana mdomoni,ila matendo yao ndio yanatia uwoga kuliko hata hao ccm.
kuliko nyinyi mnao sema mtu kajipiga risai 32😂😂 hata mtoto wa miaka 2 awezi kukuelewa....
 
pesa za kuprint mabango mwenyekiti kazitunza,halafu wale marapa wanaaambiwa waseme chama kinapendwa hakuna haja ya mabango.

sometime huwa naamini wanaoshabikia chadema ni wagonjwa wa akili.jamaa wana hoja sana mdomoni,ila matendo yao ndio yanatia uwoga kuliko hata hao ccm.
Mashabiki wa Ccm tuna high IQ hatari.
Screenshot_2020-09-24-19-55-15-1.jpg
 
kuliko nyinyi mnao sema mtu kajipiga risai 32[emoji23][emoji23] hata mtoto wa miaka 2 awezi kukuelewa....
Hahah yaani jamaa wamesikia wivu Lissu kupigwa risasi wakaona nao wasibaki nyuma wajipige risasi 32 za uongo.
 
pesa za kuprint mabango mwenyekiti kazitunza,halafu wale marapa wanaaambiwa waseme chama kinapendwa hakuna haja ya mabango.

sometime huwa naamini wanaoshabikia chadema ni wagonjwa wa akili.jamaa wana hoja sana mdomoni,ila matendo yao ndio yanatia uwoga kuliko hata hao ccm.

Kuwa mstaarabu kidogo tu. Binadamu tumeumbwa tofauti sana. Kila mtu ana utashi wake na kamwe hautafanana na mtu mwingine kwa 100% ni sawa na fingerprints ndiyo maana tunatofautiana kwa mengi.

Kinachotakiwa ni kuvumiliana, kuepuka kuvunja thamani ya utu wa wengine wanaotofautiana nawe mawazo na misimano.

Kwa mfano mdogo tu, chukulia mzazi wako ni CHADEMA, je naye ni mgonjwa wa akili?
 
Uchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani.

Hii Ina maana gani kwa uchaguzi?

Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Time, Msajili au Serikali?
Tumeamua kuwasusia ili waone jinsi walivyo na ukandamizaji
 
Uchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani.

Hii Ina maana gani kwa uchaguzi?

Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Time, Msajili au Serikali?
Kodi nikubwa ,Mungu ni muweza wa yote
 
Kwanini vyama vya siasa havina mabango ya kampeni mitaani ila CCM tu?
Hii Ina maana gani kwa uchaguzi?
Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Time, Msajili au Serikali?
Chema chajiuza, kibaya chajitembeza. Naambiwa hadi leo hii picha na mabango ya yule mwizi wa jina Madelu aka Nchemba bado ziko mabarabarani!
 
Hata wanaoishabikia ccm wana mtindio wa ubongo
pesa za kuprint mabango mwenyekiti kazitunza,halafu wale marapa wanaaambiwa waseme chama kinapendwa hakuna haja ya mabango.

sometime huwa naamini wanaoshabikia chadema ni wagonjwa wa akili.jamaa wana hoja sana mdomoni,ila matendo yao ndio yanatia uwoga kuliko hata hao ccm.
 
Mambo yakijinga nakipumbavu Chadema wako sahii sana. Sasa Mabango yanapiga kura.
 
Back
Top Bottom