Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyombo gan unazungumza wewe kwan umejuaje kuna maandamano kama hukupewa taarifa ,embu tuachen unafk wa kishamba tuambie wewe taarifa ulipata wap?Maandamano yanaendelea nchi kama Italy, France na Germany kupinga hali ngumu ya maisha pamoja na NATO, nastaajabu kuona habari hizi hazipewi headline, kwanini ?
Bomu hilo... Hawawezi kulitangaza... Ni sawa na kuchochea moto wa vifuuMaandamano yanaendelea nchi kama Italy, France na Germany kupinga hali ngumu ya maisha pamoja na NATO, nastaajabu kuona habari hizi hazipewi headline, kwanini ?
Nyie wavaa kobas muwe wastaarabu na wafuatiliaji wa habar tuambieni habar za maandamano mmepata wap?Bomu hilo... Hawawezi kulitangaza... Ni sawa na kuchochea moto wa vifuu
Ebu tupiamo tupicha twa maandamano tuone.Maandamano yanaendelea nchi kama Italy, France na Germany kupinga hali ngumu ya maisha pamoja na NATO, nastaajabu kuona habari hizi hazipewi headline, kwanini ?
Tumepata Kwa mumeoNyie wavaa kobas muwe wastaarabu na wafuatiliaji wa habar tuambieni habar za maandamano mmepata wap?
mtu awez kutangaz mabaya yake hata ck mmojaMaandamano yanaendelea nchi kama Italy, France na Germany kupinga hali ngumu ya maisha pamoja na NATO, nastaajabu kuona habari hizi hazipewi headline, kwanini ?
Nawapa hiz muache unafkimtu awez kutangaz mabaya yake hata ck mmoja
Wanaogopa kwani information is the power 😂Maandamano yanaendelea nchi kama Italy, France na Germany kupinga hali ngumu ya maisha pamoja na NATO, nastaajabu kuona habari hizi hazipewi headline, kwanini ?
mpk sasa sijaona uhalali wa Urus kuendelea kuua raia wemaMaandamano yanaendelea nchi kama Italy, France na Germany kupinga hali ngumu ya maisha pamoja na NATO, nastaajabu kuona habari hizi hazipewi headline, kwanini ?
muulize kajuaje ? au yupo ulaya ? huyo ukichaa unamuita bado kuokota makopo tuBomu hilo... Hawawezi kulitangaza... Ni sawa na kuchochea moto wa vifuu
dah ushachizika mara hii ? mbona kakuuliza swali jepes , hii ndo matokeo ya stori za kubumbaTumepata Kwa mumeo
nyiny mmejuaje ?mtu awez kutangaz mabaya yake hata ck mmoja
sasa ulitaka itangazwe na wap ? wkt umepewa taarifa hiyo tyr au hujui hiyo ni media ya mabeberu pia ?Aljazeera
Massive protest in Paris against inflation and climate crisis
Organisers say 140,000 people attended the march against the rising cost of living and alleged government inaction against climate change.
![]()
Demonstrators take part in a protest by New Ecologic and Social People's Union (NUPES), a coalition of left and green parties, against soaring inflation and what they call a lack of government action to fight climate change in Paris on Sunday [Stephane Mahe/Reuters]
Published On 16 Oct 202216 Oct 2022
mm kila nkiona jina la Palestina huwa nasema waarabu na watu wa asia ni watu wapumbav kbs , unaezaj dai watu wa ulaya ndo waanzishe harakat zinawahusu nyiny ? China na India kwann hawajawai isaidia Palestina na badala yake lawama mnapeleka kwa wazungu kwan Palestina ipo Ulaya ? 1948 kila mtu alipewa chake , ubinafs wa wapalestina ndo umewaponza wanataka eneo lote , Na sisi tukiwadai wale waarab wa Zanzibar , Mombasa , Lamu , Bagamoyo , k/koo n.k warudi kwao watuachie ardhi yetu , je tutakuwa sahihi ? Huu ubaguz mnaulea kwa wapalestina mm siungi mkono wao waache kwenda mataifa mengine ndipo na sisi tutawasapoti waishi huko wanakodai no kwao
nimejua kwa kumskia Akon aliwah kusem everyday ndan ya marekn kuna matukio ya ovyo lkn serikal ya amerik hawayatangaz ayo matukio hata kdgnyiny mmejuaje ?
Tumezipata kwa ndugu zetu wanaoishi hukoNyie wavaa kobas muwe wastaarabu na wafuatiliaji wa habar tuambieni habar za maandamano mmepata wap?