jay-mc
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 246
- 142
Hata mimi nashangaa wamekomalia maandamano ya iranMaandamano yanaendelea nchi kama Italy, France na Germany kupinga hali ngumu ya maisha pamoja na NATO, nastaajabu kuona habari hizi hazipewi headline, kwanini ?