Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Neno 'Umma' ndio limeleta hayo yote.Kwa nini vyoo vya umma vya watu wazima huwa vinatengewa kwa jinsia ya Wanawake(KE) na Wanaume(ME)?
Kuna tatizo gani kwa wanaume na wanawake kutumia choo kimoja?
Kwa nini vyoo havitenganishwi vya watoto na watu wazima?