vyoo vya umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ijitahidi kuweka vyoo vya umma kwenye vituo vya mabasi na maeneo yenye msongamano

    Kwenye vituo vya mabasi na maeneo yenye msongamano mkubwa wa watu, kama Mbezi, tunaomba Serikali ijenge vyoo vya umma vinavyopatikana kwa urahisi. Vyoo hivyo vitasaidia wasafiri, wanaowasindikiza au kuwapokea ndugu zao, pamoja na wapita njia, kupata huduma bila kulazimika kuingia ndani ya vituo...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tunakataaa kuwajibishana kwa maslahi ya nani? Kwanini mpaka leo Viongozi wa Vyombo vya ulinzi wa Usalama wako ofisini?

    Kama wewe ndo ulitoa amri waue watoto wetu, basi jiuzuru wewe wao waendelee kukalia hivyo viti Lakini wao wapo na wewe upo ili Taifa halitopona mkuu achia nchi life lisonge Uliowaua wanalia MIKONOni mwakoooo!
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Milango nusu ya vyoo vya umma Marekani inahitaji ujasiri sana kwa watumiaji

    Hii milango ya katika vyoo vya umma huwa inashangaza sana, unakuwa unajisaidia huku mtu mwingine kutoka nje anaweza kukuona akitaka na kusikia kila kitu unachofanya Hivi vyoo ukiwa na tumbo la kuhara lile la vuvuzela au tarumbeta ni shughuli pevu, inabidi ukimaliza usubirie kuhakikisha hakuna...
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo vya Stendi Kahama ni mfano jinsi vyoo vingi vya public visivyo salama na hatari kwa afya za watumiaji

    Habari za Leo Waungwana. Ni hivi nimezunguka karibia ya 96% ya mikoa ya Tanzania lakini ajabu ni kwamba Vyoo vya stendi zote hadi pale Dodoma ile Stendi Kuu ya kisasa kabisa ni pachafu na si salama, licha ya kuwa tunatoa hela kupata huduma ya kujisaidia. Ukiingia kwenye Vyoo hivi ukakaa hata...
  5. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Swali la Kiimani & Sayansi:- Kwanini watu hawapati stroke (kupigwa na majini) kwenye vyoo vya umma?

    Ni kawaida sana kwa watu kupatwa na stroke wakiwa kwenye vyoo vya majumbani kwao. Lakini sio kawaida hata kidogo kukuta mtu kapatwa na stroke kwenye vyoo vya umma. Kwanini Hali hii utokea hivi?
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania KERO Miundombinu ya vyoo Mnada wa Mbuzi - Kibamba ni kichefuchefu! Mamlaka za Afya Wilaya ya Ubungo mpo wapi?

    Salamu Wakuu, Kwa waliowahi kufika Kibamba kwenye mnada maarufu wa nyama tamu ya mbuzi, bila shaka mtakuwa mmekutana na changamoto kubwa ya miundombinu duni – hasa vyoo. Hali ni ya kusikitisha. Vyoo havina maji tiririka, vinyesi vinaonekana waziwazi, na mazingira ni machafu kupindukia. Vibanda...
  7. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania KERO Pamoja na hali ya usafi wa vyoo vya umma inaeleweka. Vyoo vile kwa walemavu wanaotambaa ni jehannam

    Wakuu inaumiza, inakoroga na kukata maini kabisa. Fikiria kwanza vyoo vya umma vinavyoshughulikiwa kila baada ya dakika 6. Masizi, michanga, matope na chembechembe za vinyesi zinayotapaa pale ambapo zoezi la kuflash likitumi nguvu zaidi. Anakuja mlemavu anatembelea mikono na miguu anaingia...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyoo vya umma vinatengwa kwa jinsia ya wanaume(ME) na wanawake(KE)?

    Kwanini vyoo vya umma vya watu wazima huwa vinatengewa kwa jinsia ya Wanawake(KE) na Wanaume(ME)? Kuna tatizo gani kwa wanaume na wanawake kutumia choo kimoja? Kwanini vyoo havitenganishwi vya watoto na watu wazima?
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania KERO Inakera sinki za kukojolea za vyoo vya wanaume kukaribiana sana bila vitenganishi

    Vyoo vya matumizi ya umma hasa kwa ajili ya kukojoa katika bar nyingi na migahawa ya bus za abiria Tanzania vina changamoto nyingi sana upande wa sinki za kukojolea. Kuna mahali bar kubwa au mgahawa mkubwa sana na wateja wengi lakini kuna sinki mbili tu za kukojolea kwa hiyo wateja chooni...
Back
Top Bottom