Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Hii milango ya katika vyoo vya umma huwa inashangaza sana, unakuwa unajisaidia huku mtu mwingine kutoka nje anaweza kukuona akitaka na kusikia kila kitu unachofanya
Hivi vyoo ukiwa na tumbo la kuhara lile la vuvuzela au tarumbeta ni shughuli pevu, inabidi ukimaliza usubirie kuhakikisha hakuna mtu nje ya choo ndio utuoke mbio chooni.
Sijui kwa nini Wamarekani vyoo vinakuwa na milango nusu na uwazi mkubwa hivi!