ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Heh apana kwa kweli mwanaume kuona nyeti ya .mwenzie bila dharura yoyote lol šJamaa anasema yaani kama ukiwa umezoea maisha ya tz unaweza usioge hata mwezi mzima mpaka unarudi wakati wewe unajishauri utaanza anzaje kuoga unashangaa wenzako wanaingia tu hawana Time na mtu š¤£