Kwanini vyoo vya umma vinatengwa kwa jinsia ya wanaume(ME) na wanawake(KE)?

Kwa nini vyoo vya umma vya watu wazima huwa vinatengewa kwa jinsia ya Wanawake(KE) na Wanaume(ME)?

Kuna tatizo gani kwa wanaume na wanawake kutumia choo kimoja?

Kwa nini vyoo havitenganishwi vya watoto na watu wazima?
Neno 'Umma' ndio limeleta hayo yote.
 
SPARE ZA NOAH SR 40 - 50, KAMA ZOOOTE.
0712 148001.
q1q
 
Kwanini vyoo vya umma vya watu wazima huwa vinatengewa kwa jinsia ya Wanawake(KE) na Wanaume(ME)?

Kuna tatizo gani kwa wanaume na wanawake kutumia choo kimoja?

Kwanini vyoo havitenganishwi vya watoto na watu wazima?
Jaman nakumbuka nilipelekewa moto chooni bar yaan ilikuwa tamu balaa sitakuja kuisahau kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…