Kwanini waafrika na watu weusi wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kustaarabika?

Una akili sawasawa lakini Mzee.. hujaelewa hoja au ndio Akili zenyewe za Kiafrika!!

Pitia tena uzi, labda utaelewa
 
Colonial economy inakusaidia nini hapo welding
 
unaonaje ukachukua udc wa nikki wa pili pale kisarawe?
 
kwa wale waliowahi kuishi America. ulitakiwa unapojumuisha watu weusi ujumuishe na African Americans. wale jamaa wapo ambao mzungu hata akiwa genius hatii mguu, kina Obama, Kina Condoresa Rise, na wengine wengi, isipokuwa ni wale tu wanaotoka familia yanye kipato, na wengi wao utakuta ni mchanganyiko wa mzungu na mweusi. nimesoma na African Americans, wapo vizuri sana kichwani kwa wale wanaoenda shule na wapambanaji balaa.

kwa utafiti ambao tayari ulishafanywa, ili mtu awe na uwezo wa akili kiwango cha juu pamoja ambavyo pia vinaendana na ustaarabu, ipo determined na aina ya maisha aliyokulia tangu akiwa tumboni mwa mama yake.

kwa kifupi, aina ya vyakula tunavyokula ndivyo vinavyodetermine development ya ubongo. mtoto tangu akiwa tumboni anatakiwa kula vyakula vitakavyoboresha ubongo wake, na vyakula hivyo vingi ni vile vyenye omega3 inayopatikana kwenye ndizi, mafuta ya samaki na parachichi na kiini cha yai. sio hivyo tu, wakati anakua, anatakiwa kula chakula bora, omega3 isipungue pamoja na proteins za kutosha kwasababu ndizo zinamfanya akue.

wakati anaendelea kukua, usimbanie, kila anachotaka kufanya unamchapa, akitaka kucheza michezo fulani unamkataza, etc, kwa watoto wa kibongo, wengi wanalelewa na housegirls na mzazi atamwangalia mtoto akirudi, ukimpatia chakula housegirl anakula chote anampa mauji anashiba, uji usio wa lishe hauna faida na haumfanyi akue wala kudevelop ubongo wake. ubongo ukilishwa vyema kwa vyakula bora ukakua vizuri mtoto IQ inakuwa juu sana.

kwa Africa, wengi tunakula ili tuishi, nilijifunza kitu kimoja, ukiishi na wachina, utajua kuwa wee unakula tu ili uishi lakini hauulishi mwili wako. jamaa wanaweza kula nyama na samaki ambayo wangekula watu wawili, piga maziwa, piga matunda, tandika tandika balaa, na hata akila kidogokidogo anakula mara nyingi. breakfast yao ya ajabu. na vyote hivyo VINATOKANA NA KIPATO, ukiwa na kipato kidogo hautakula vyakula bora na ubongo wako utadorora. wazungu wengi wana uwezo kununua chakula bora kwa watoto everyday na wanawapa nafasi ya kujaribu kufanya mambo mbalimbali, hawachapi watoto na kuwatia hofu kama sisi huku, huku kwetu mtoto anaishi kwa hofu ya kuchapwa tu muda wote na hofu hiyo anakuwa nayo hadi ukubwani. nyumbani, mtaani, shuleni etc anakuwa na hofu tu na kufokewa na kuchapwa hivyo na ubongo wake pia unakuwa hivyohivyo,

vijijini kwetu tulikozaliwa huko unaamka asubuhi unakula viazi au ugali unaenda shamba. kitu pekee utakachofaidika ni mboga za majani ila ugali/viazi ni wanga haujengi mwili, kwahiyo ubongo haulishwi ndio maana vichwa vigumu kuelewa.

tafiti zilifanywa kwenye mikoa ambayo watu wanaishi milimani, uwezo wa kufikiri ni mdogo kwasababu ya weathering ya udogo kwenye mazao wanayolima, madini ya chuma yanachukuliwa na mvua na kupelekwa kwenye mto hadi mabondeni huko, wenyewe kile wanachokilima kule juu hakkina madini ya chuma ambayo pia yanasaidia development ya ubongo. labda kwa siku hizi chumvi wamelazimisha lazima iwekwe madini ya chuma sio kama sisi zamani tulikuwa tunakula ile ya mawe.(wahenga tu wataelewa hapa).

kiujumla, watu weusi kwenye nchu ulizotaja za carrebeans na africa, utaona uchumi wao upo chini sana, hawana kipato cha kuwafanya wale balanced diet, na balanced diet ndio inafanya watu wawe na afya ya akili na ustaarabu.

chukua mfano wa Nigeria, kule kuna vyakula vingi (ni kama tukuyu na bukoba), walipima watu duniani iq, mwaka juzi kuna mtoto mmoja toka nijeria aliibuka kinara. wanachofanya wenzetu wanaiba sana nchi za watu wanatajirika na kurudi kwao. nchini kwao pia kuna matajiri wa kufa mtu kwasababu wanafanya sana kazi, hivyo ukiamua kuchukua sampuli za vipimo, chukua waafrica toka familia mambo safi, waamerica weusi na wanijeria utapata jibu.

on the other side, kuan mambumbumbu ulaya mashariki huo kwenye umasikinini huko, ile former USSR kuna baadhi ya nchi ni maskini kidogo, huko aisee kuna mambumbumbu bora hata waafrica. same applies to Arab countries wale masikini wanajua tu kuswali akili zingine hawana kabisa. tulishe watoto vyakula bora ili wasihangaike baadaye.
 
Nikuulize machache katika mengi.
Je hakuna watanzania wanamudu vyakula bora.
Nilikuwa naenda vijijini nikiwa mdogo usukumani.
Tulikuwa tunakunywa maziwa tunavyojisikia. Wali tunakula asubuhi na usiku wa kushiba si wa kupapasa, makaranga, dengu,pepeta, njugu kwemye chungu hayaishi, ugali mboga za majani, miwa mapera,mapapai, maembe, mfulu,ntalali, matobolwa, nyama nk.
Ndugu unataka tuleje, je nini kinakosekana hapo. Unataka tule humberg, donati, buskuit za wazungu.
Nachojua sisi tunavtakula vingi kasoro mikoa michache tu.
Masoko yetu yamejaa kila aina ya chakula tena na bei rahisi.
Mda huu nao andika maviazi mviringo ni bei ya kutupa huko mby na Njombe, mchele ndio usiseme. Matunda yamejaa mpaka yanajiozea sokoni.
 
Halafu kwa nini hao wanaijeria hawaibadilishi nigeria na kuwa taifa bora., je hivyo vyakula havina kazi katika bongi zao.
 
Kosa moja waja wengi mnakosea sana,yaani mnahusisha moja kwa moja kufikiri au akili na maendeleo.
 
umejibu vema sana kiongozi
 

halafu,

Mnaposema chakula bora mnaanishaje!!? Hivi si mnajua huko vijijini asilimia kubwa madogo wanakula vyakula bora na ni wa hali ya chini ukilinganisha na huko mjini. Kama ni matunda yapo, wakiwa na hamu na nyama wanachinja au wanaenda kununua nyama safi kabisa fresh sio hizi zetu unazikuta supermarket hujui zina miezi mingapi. Maziwa wanakamua fresh na kunywa, mtindi vile vile kila tamaduni wana njia zao za kuutengeneza sio sisi huku mjini tunanunua wa Asas au Tanga Fresh

Binafsi hii hoja ya kwamba sijui wazungu vyakula wanavyokula vinawapelekea kuwa na uwezo Mkubwa darasani bado sijaiafiki 100% maana hivyo vyakula vyao vyenyewe vingi ni processed food na vina kemikali tofauti na huku nyumbani mfano machungwa ya Mia Mia yapo. So hapo naona kuna Ndugu zangu. Maana mnataka kuniambia watoto wanaoishi mathalan huko wa Mbeya kunakolimwa viazi, mpunga, maharage, mahindi na vyakula vingine vingi tu lishe yao ni duni ili hali wanakula kila kitu fresh kutoka shambani, halafu watoto wanaoishi Chicago wanakula vyakula bora ingawa ni processed food!!? Huyu wa marekani au huko ulaya akinywa maziwa yake ya kiwandani na huyu wa Mbeya au huko monduli anakunywa fresh yaliyokamuliwa sasa hivi then mnasema wa states Anakula vizuri kuliko wa bongo.

Au ni uwezo binafsi tu ambao MUNGU amekubariki nao, ambao kwa akili zangu hizi ndogo naona hata kama linachangia basi ni kwa asilimia chache mno.
 
Huzuni tupu
Kama hapa viongozi wameongeza tozo kirahisi mno na hakuna wa kufanya kitu hata zile kelele ndogo wameona wazizime kwa ishu ya mbowe!
Behind the scene unaweza kuta mbowe kalipwa parefu akubali kudakwa ili azime saga linaloendelea afu baadae wakishamwacha na watu watakua washasahau tozo!
😂😂😂😂😂😂😀
 
Halafu kwa nini hao wanaijeria hawaibadilishi nigeria na kuwa taifa bora., je hivyo vyakula havina kazi katika bongi zao.
haujui kama nigeria ndio taifa kubwa africa kwa sasa, kule kuna watu wenye elimu na maisha mazuri kuliko hata nchi nyingi tu ulaya. ukitaja nigeria usifikiri ipo kama dsm. ni taifa tajiri tu.na wanasonga mbele everyday.
 
kwa hiyo kwa akili yako hiyo ndio balanced diet, na ndio vyakula vya kukuza ubongo? kwamba unakula wali wa kushiba, plus maziwa tu. hata hivyo, kama icho ndo sababu, angalia wafugaji kama masai na wasukuma wakiamua kwenda shule, huwakamati. mazingira uliyopo pia huwa yanashape akile yako.
 
Wapo watu wenye akili sana Africa, ila wanasilibwa na wenye siasa,
 
kwa hiyo kwa akili yako hiyo ndio balanced diet, na ndio vyakula vya kukuza ubongo? kwamba unakula wa

We ndugu unaelewa kweli? Nani kaandika anakula wali na maziwa tu, au unataka ulazimishe unachofikiri wewe. Soma tena comment ndio uhoji vinginevyo wewe ni mgumu wa kuelewa.
 
Swali linakuja kwa nini waweze kutugawa na sisi tukubali kugawanyika?

Kwa nini isiwe waafrika kwenda ulaya na kuwagawa wazungu?

Mkuu tukubali tu wao wametuzidi tena mbali sana, na ndo maana walituwahi karne ya 15.

Sisi tulio wengi huishia kusema haiwezekani.

Hiyo picha hapo ilikuwa 1963, wazungu waliamini iko siku mbeleni tutaweza beba simu mfukoni, leo hii wewe ni shuhuda.

Kibongongo tungesema HAIWEZEKANI.
 
Inasemekana size ya maumbile ya chini yanahusiana na kiwango cha kufikiri
Sisi akili yetu ilikimbilia huko angalia wale wenye size ndogo wakorea na wafilipino au wachina wengi wana vidude vidoogo lakini akili ni Moto,
 
Ideology za kizamani kutawaliwa haikufanyi nchi kuwa masikini,nchi karibu zote duniani ziliwahi tawaliwa baada ya kujikomboa zikaendelea.
Umasikini wetu ni matokeo ya fikra na tabia zetu.Mzungu hausiki popote.Uvivu, ufisadi, ubinafsi, ujinga, uchawi, udikteta, ufisadi,rushwa,uzembe, upigaji je vimeletwa na Mzungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…