Kwanini waafrika na watu weusi wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kustaarabika?

Kwanini waafrika na watu weusi wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kustaarabika?

M
๐–๐š๐ค๐ข๐ฌ๐จ๐ฆ๐š ๐ฌ๐š๐ฌ๐š ๐ง๐๐ข๐จ ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ค๐ฎ๐ฐ๐š ๐ฐ๐ž๐ก๐ฎ ๐ณ๐š๐ข๐๐ข.

๐๐š๐๐ก๐š๐ง๐ข ๐ฆ๐š๐ฃ๐ข๐›๐ฎ ๐š๐ง๐š๐ฒ๐จ ๐Œ๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž๐ณ๐ข ๐Œ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ๐ฆ๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž๐ฐ๐ž
Mbona jibu lako looks so cheap!!
 
Kwenye dini ndo walituweza [emoji24][emoji24]yaan kuna makundi ya watu wanajiona ni miungu watu yaan watakatifu .Tutakapo kuja kugundua ujanja wao huu tutapiga hatua .Dini imetufanya tuonane si ndugu.
Si kweli kwani kwao Hakuna dini? Ukristo upo ulaya na maendeleo na ustaarabu wa ulaya chanzo ni dini ya Ukristo.
Maendeleo ya Uarabuni chanzo ni uislamu.
 
Ukitaka kujua mwafika mjinga!!! Watazame WaZulu wa South Africa utapata jibu zuri sana!!!
Mkuu wazulu ni wajinga zaidi ingawaje waafrika kweli tuna mapungufu yetu..mzulu akipata mshahara alhamisi usiku ijumaa aendi kazini mpaka jumatatu na anaona poa tuu wao kufanya kazi wanaona kama adhabu...wanaanzisha fujo ili kuiba kwenye maduka ya pombe kaburu kuna dawa alikua anawatilia enzi za utawala wao ndio maana akili zimedumaa kabisaa..
 
Kiasi fulani upo sahihi kabisa, ila sio kila tatizo letu chanzo ni wazungu , na sisi wenyewe tuna matatizo tu!!miaka zaidi ya 50, toka wametuachia uhuru lakini, mbona matatizo mengi bado ni yale yale tu toka kipindi cha uhuru?!!

Nchi nyingi za ASIA, miaka ya 70's tulikuwa nazo karibu sawa lakini leo hii wako wapi?huyo mchina licha ya viunzi anavyokutana navyo toka kwa wazungu mbona ameweza kuviruka?!!Mfano viongozi wengi wa afrika kubadirisha katiba na kung'ang'ania madarakani eg, M7, kagame, ni wazungu?!!

Wakati makundi ya wanaofaidika nao yanakwambia sisi Afrika tuna demokrasia yetu?!!hadi mwisho wa dunia hatuwezi kujitambua kwa urafi wetu, na ubinafsi tulionao, mfano kinachoendelea huko SA, kiingozi ametuhumiwa kwa kuliibia taifa(hao waandamanaji)sheria inafuata mkondo wake mnaanza kuingiza ukabila, na kujificha kwenye ukabila na kupora mali na uharibufu?

Bi miaka mingapi KABURU, amekaa pembeni licha ya uchumi kuushika yeye, hao wafrika wenzao wamefanya nini hadi leo?!!yaani ukatili tunaofanyiana sisi na viongozi wetu hadi hao wazungu wanaingilia kati!!!

Njaa imekuwa balaa kwa nchi nyingi za kiafrika, kweli tumeshindwa kuweka mikakati ya kuachana na kilimo cha kutegemea mvua?na tatizo wala sio pesa ni vipaumbele tu.SIO KILA TATIZO LETU CHANZO NI WAZUNGU.
You spoke my mind
 
๐–๐š๐ค๐ข๐ฌ๐จ๐ฆ๐š ๐ฌ๐š๐ฌ๐š ๐ง๐๐ข๐จ ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ค๐ฎ๐ฐ๐š ๐ฐ๐ž๐ก๐ฎ ๐ณ๐š๐ข๐๐ข.

๐๐š๐๐ก๐š๐ง๐ข ๐ฆ๐š๐ฃ๐ข๐›๐ฎ ๐š๐ง๐š๐ฒ๐จ ๐Œ๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž๐ณ๐ข ๐Œ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ๐ฆ๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž๐ฐ๐ž
Ushahidi kadri mwafrika anavyosoama zaidi ndivyo anavyozidi kuwa mjinga zaidi, case study wasomi wa afrika hawana msaada na Jamii zao ndio wezi wakubwa serikalini,wabinafsi uingia mikataba mibovu maadamu Ina ten pasenti,,wapiga dili wakubwa.Radhi mtu ale pesa za mradi wa kusambaza maji utakaosaidia maelfu analamba kwenda kununua mabus huku Jamii inateseka, watawala wa kiafrica wako bize eti kuwafichia mali watoto wao utadhani wao waliandaliwa maisha,hali wenzetu watawala wao wako bize kuandaa future ya Jamii nzima inufaike.
 
Mkuu wazulu ni wajinga zaidi ingawaje waafrika kweli tuna mapungufu yetu..mzulu akipata mshahara alhamisi usiku ijumaa aendi kazini mpaka jumatatu na anaona poa tuu wao kufanya kazi wanaona kama adhabu...wanaanzisha fujo ili kuiba kwenye maduka ya pombe kaburu kuna dawa alikua anawatilia enzi za utawala wao ndio maana akili zimedumaa kabisaa..
Na black's american wamepewa dawa gani maana hawana tofauti na wazulu.
 
Mm naweza kusema tatizo ni elimu tuliyo patiwa sio mkombozi wa kizazi chetu. Viongozi tulio nao Ni zao la elimu yetu duni ambayo hatuonyeshi fursa za ki dunia hivyo huishia kua na mawazo yanayo sababisha tamaa matokeo yake tuna kutana na viongozi wapenda rushwa n.k
Kwa nini tusikwamue kwa kubadili elimu? Si tunajitawala wenyewe?
 
Waafrica ni watu wenye uwezo mkubwa na wamejaliwa mali nyingi na ustahimilifu wa mazingira magumu. Sifa hizo zote kwa karne nyingi zimekuwa ni hofu kubwa dhidi ya wazungu.

Wanajua tukiweza kujitambua na kuendeleza raslmali zetu watakuwa na wakati mgumu sana, na pengine tunaweza kuwaangamiza na wakapotea, wao ni dhaifu, nchi zao hazina raslmali na hata hali za hewa kwao si rafiki.

Ili wao kuishi wanatutegemea kwa aslimia kubwa, hili liliwafanya wao kujihami mapema. Wakahakikisha wanapora mali zote na kutengeneza mazingira ambayo hatutakuwa kitu kimoja.

Mfano ni kutugawa katika nchi nyingi na kuhakikisha hatuongei lugha moja. Wao wameungana na wanaongea lugha moja, lakini Tanzania na Angola au congo mpk Cameron tuna lugha tofauti tofauti. Vile vile siasa zetu hazikubaliani. Jumuiya ya Africa mashariki tu imeshindikana.

Hivyo yote unayoyaona nchi za watu weusi ni ufefhuli wa mtu mweupe.
Alihakikisha kupitia Dini, vita na saikolojia anatutawala tusije amka na kujitambua kwa hali yoyote ile.

Alitutumikisha kama watumwa, jambo hili lilitudumaza watu weusi na kutuchelewesha kwa takribani miaka hata elfu moja nyuma dhidi yao. Ni kama unaanza mashindano ya mbio halfu mtu anakusukuma unaanguka.

Unatibiwa mpka unakuwa sawa then unaambiwa uendelee na mbio, huku mpinzani wako wakati wote huo yeye anakimbia kwa kasi kuelekea mwisho wa pambano, huku wewe ukikimbia kwa kuchechemea japo unauwezo na sifa zote za kushinda.

Naishia hapa, usijidharau. Tunafanyiwa rafu nyingi sana, kuhakikisha hatutoki hapa tulipo, maana wanajua tutakapotoka wao hawatakuwepo tena.
Watu kama nyie ndo mnaifanya Afrika izidi kudidimia kwa ujinga, umasikini na magonjwa
 
Sifa kubwa ya mtu mweusi ni usaliti hasa pale anapokuwa mbele ya mtu mweupe kitaalamu inaitwa inferiority complex.

Haijalishi ni mzungu, mhindi au mchina lazima atasaliti wenzake tuu ili aonekane msomi au civilized. Hii ni asili yetu toka enzi za kina chief mangungo. Tupo tayari kumsaliti mwenzetu ili mtu mweupe afanikiwe.
 
Hotep Wakush

Mimi Kisendi Nyanda Ntalima Mpandaligoya nasema hivii, nitarejea kuuzungumza Ukushi na Ufedhuli wa Manguruwe waliotufanyia.


Hotep
 
Kutawaliwa hakuwezi ifanya nchi kuwa masikini bali mfumo mbovu wa uongozi ndio chanzo, afrika pekee ndio mtawala ana Kinga ya kutokushtakiwa yaani kapewa ruhusa ya kufanya ajisikiacho mfano kuuwa uchumi,upendeleo wa kabila, dini, kutafuna kodi za wananchi, chochote na hakuna wa kumstaki bali akitoka umuweka wa kumlinda.
 
Kati ya hizo Race mbili,weusi na weupe,nani alikaa kwenye utumwa kwa miaka 100,ukoloni kwa miaka 100 mingine?hakuna tatizo katika mbongo za weusi,sie na wazungu tupo Sawa,tungekuwa tuna shida vichwani?Patrice Lumumba,Kwameh Nkurumah,Mandela,Nyerere,Luther King,Malcon X,wangetoka wapi?
Je unajua mtu tajiri sana Afrika kusini,anaitwa Patrick Mothepe,Afrika nzima Yupo Alicko Dangote,Je unajua Dokta wa kwanza kufanya operation ya kutenganisha mapacha?alikuwa Bern Carson,mtu mweusi.
Unaongea hearsay tu
Screenshot_2021-07-23-11-53-02-38.jpeg
 
Sorry kwa watakao feel offended

Africa kuna nchi 54. Nje ya Africa nchi ambazo zina jamii ya watu weusi
Ni za visiwa vya Careebian kama Jamaika , Haiti Buhamas.

Lakini zooteee hizo hamna hata nchi ambayo ni developed nation hata moja!!

Matatizo ya Tanzania , Zimbabwe Congo Namibia sijui Africa ya kati ni yale yale na ya Haiti ni yale yale.

Itoe South Africa ambayo waanchi wake weusi hawamiliki asilimia 80 ya uchumi!! Ukiwa umehodhiwa na wazungu.

Jibu kama mtu usie na mihemuko!!
Leo hii naanza kuwaelewa wazungu waliotuona tuko tofauti na wao.

Ni ukweli mchungu kuwa wazungu ni waaminifu sana kwenye mahusiano,biashara,kazini etc,mwafrika ni kinyume chake.

Uwezo wetu wa kufikiri pia uko very limited,katika uchumi wa dunia ya sasa waafrika wanahesabika kuwa watumiaji kuliko kuwa wazalishaji,eg. Hatuna ugunduzi wetu wa maana wa teknolojia tunategemea zaidi vya watu.

SABABU ZA UTOFAUTI:

...Biological genes zetu ndio kizingiti namba moja,tuko tofauti na wazungu lakini haimaanishi sisi ni dhaifu.

...Kihistoria pia tumekubali kuwa sisi ni dhaifu kuliko race nyingine,tukibadili muelekeo tutatoboa.

...Mentality yetu ni very poor, hatuamini kama tunaweza,ni wategemezi mno,wachache tu ndo wanajielewa na haraka uwa wanachukuliwa na wazungu.

...Mazingira na mila zetu ni mbovu sana,tukizibadili tutatoboa.
 
Mbona mifano ya huko ni mbali sana mkuu,we angalia tu mfano mdogo kwa Diamond anavyopigwa vita kisa mafanikio yake,tena mbaya zaidi baadhi ya media kubwa nazo zinamchukia huyu mwamba aliyeipeleka bongo fleva kimataifa,kila muda wao ni kumsemea vibaya tu,ndio fikra za ovyo za kiafrika hizo,yaani kitu kuappreciate uwezo wa mwingine ni shida
 
Back
Top Bottom