Mbona jibu lako looks so cheap!!๐๐๐ค๐ข๐ฌ๐จ๐ฆ๐ ๐ฌ๐๐ฌ๐ ๐ง๐๐ข๐จ ๐ฐ๐๐ง๐๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐ก๐ฎ ๐ณ๐๐ข๐๐ข.
๐๐๐๐ก๐๐ง๐ข ๐ฆ๐๐ฃ๐ข๐๐ฎ ๐๐ง๐๐ฒ๐จ ๐๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐๐ณ๐ข ๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ๐ฆ๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐๐ฐ๐
Si kweli kwani kwao Hakuna dini? Ukristo upo ulaya na maendeleo na ustaarabu wa ulaya chanzo ni dini ya Ukristo.Kwenye dini ndo walituweza [emoji24][emoji24]yaan kuna makundi ya watu wanajiona ni miungu watu yaan watakatifu .Tutakapo kuja kugundua ujanja wao huu tutapiga hatua .Dini imetufanya tuonane si ndugu.
Mkuu wazulu ni wajinga zaidi ingawaje waafrika kweli tuna mapungufu yetu..mzulu akipata mshahara alhamisi usiku ijumaa aendi kazini mpaka jumatatu na anaona poa tuu wao kufanya kazi wanaona kama adhabu...wanaanzisha fujo ili kuiba kwenye maduka ya pombe kaburu kuna dawa alikua anawatilia enzi za utawala wao ndio maana akili zimedumaa kabisaa..Ukitaka kujua mwafika mjinga!!! Watazame WaZulu wa South Africa utapata jibu zuri sana!!!
You spoke my mindKiasi fulani upo sahihi kabisa, ila sio kila tatizo letu chanzo ni wazungu , na sisi wenyewe tuna matatizo tu!!miaka zaidi ya 50, toka wametuachia uhuru lakini, mbona matatizo mengi bado ni yale yale tu toka kipindi cha uhuru?!!
Nchi nyingi za ASIA, miaka ya 70's tulikuwa nazo karibu sawa lakini leo hii wako wapi?huyo mchina licha ya viunzi anavyokutana navyo toka kwa wazungu mbona ameweza kuviruka?!!Mfano viongozi wengi wa afrika kubadirisha katiba na kung'ang'ania madarakani eg, M7, kagame, ni wazungu?!!
Wakati makundi ya wanaofaidika nao yanakwambia sisi Afrika tuna demokrasia yetu?!!hadi mwisho wa dunia hatuwezi kujitambua kwa urafi wetu, na ubinafsi tulionao, mfano kinachoendelea huko SA, kiingozi ametuhumiwa kwa kuliibia taifa(hao waandamanaji)sheria inafuata mkondo wake mnaanza kuingiza ukabila, na kujificha kwenye ukabila na kupora mali na uharibufu?
Bi miaka mingapi KABURU, amekaa pembeni licha ya uchumi kuushika yeye, hao wafrika wenzao wamefanya nini hadi leo?!!yaani ukatili tunaofanyiana sisi na viongozi wetu hadi hao wazungu wanaingilia kati!!!
Njaa imekuwa balaa kwa nchi nyingi za kiafrika, kweli tumeshindwa kuweka mikakati ya kuachana na kilimo cha kutegemea mvua?na tatizo wala sio pesa ni vipaumbele tu.SIO KILA TATIZO LETU CHANZO NI WAZUNGU.
Ushahidi kadri mwafrika anavyosoama zaidi ndivyo anavyozidi kuwa mjinga zaidi, case study wasomi wa afrika hawana msaada na Jamii zao ndio wezi wakubwa serikalini,wabinafsi uingia mikataba mibovu maadamu Ina ten pasenti,,wapiga dili wakubwa.Radhi mtu ale pesa za mradi wa kusambaza maji utakaosaidia maelfu analamba kwenda kununua mabus huku Jamii inateseka, watawala wa kiafrica wako bize eti kuwafichia mali watoto wao utadhani wao waliandaliwa maisha,hali wenzetu watawala wao wako bize kuandaa future ya Jamii nzima inufaike.๐๐๐ค๐ข๐ฌ๐จ๐ฆ๐ ๐ฌ๐๐ฌ๐ ๐ง๐๐ข๐จ ๐ฐ๐๐ง๐๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐ก๐ฎ ๐ณ๐๐ข๐๐ข.
๐๐๐๐ก๐๐ง๐ข ๐ฆ๐๐ฃ๐ข๐๐ฎ ๐๐ง๐๐ฒ๐จ ๐๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐๐ณ๐ข ๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ๐ฆ๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐๐ฐ๐
Na black's american wamepewa dawa gani maana hawana tofauti na wazulu.Mkuu wazulu ni wajinga zaidi ingawaje waafrika kweli tuna mapungufu yetu..mzulu akipata mshahara alhamisi usiku ijumaa aendi kazini mpaka jumatatu na anaona poa tuu wao kufanya kazi wanaona kama adhabu...wanaanzisha fujo ili kuiba kwenye maduka ya pombe kaburu kuna dawa alikua anawatilia enzi za utawala wao ndio maana akili zimedumaa kabisaa..
Kwa nini tusikwamue kwa kubadili elimu? Si tunajitawala wenyewe?Mm naweza kusema tatizo ni elimu tuliyo patiwa sio mkombozi wa kizazi chetu. Viongozi tulio nao Ni zao la elimu yetu duni ambayo hatuonyeshi fursa za ki dunia hivyo huishia kua na mawazo yanayo sababisha tamaa matokeo yake tuna kutana na viongozi wapenda rushwa n.k
Watu kama nyie ndo mnaifanya Afrika izidi kudidimia kwa ujinga, umasikini na magonjwaWaafrica ni watu wenye uwezo mkubwa na wamejaliwa mali nyingi na ustahimilifu wa mazingira magumu. Sifa hizo zote kwa karne nyingi zimekuwa ni hofu kubwa dhidi ya wazungu.
Wanajua tukiweza kujitambua na kuendeleza raslmali zetu watakuwa na wakati mgumu sana, na pengine tunaweza kuwaangamiza na wakapotea, wao ni dhaifu, nchi zao hazina raslmali na hata hali za hewa kwao si rafiki.
Ili wao kuishi wanatutegemea kwa aslimia kubwa, hili liliwafanya wao kujihami mapema. Wakahakikisha wanapora mali zote na kutengeneza mazingira ambayo hatutakuwa kitu kimoja.
Mfano ni kutugawa katika nchi nyingi na kuhakikisha hatuongei lugha moja. Wao wameungana na wanaongea lugha moja, lakini Tanzania na Angola au congo mpk Cameron tuna lugha tofauti tofauti. Vile vile siasa zetu hazikubaliani. Jumuiya ya Africa mashariki tu imeshindikana.
Hivyo yote unayoyaona nchi za watu weusi ni ufefhuli wa mtu mweupe.
Alihakikisha kupitia Dini, vita na saikolojia anatutawala tusije amka na kujitambua kwa hali yoyote ile.
Alitutumikisha kama watumwa, jambo hili lilitudumaza watu weusi na kutuchelewesha kwa takribani miaka hata elfu moja nyuma dhidi yao. Ni kama unaanza mashindano ya mbio halfu mtu anakusukuma unaanguka.
Unatibiwa mpka unakuwa sawa then unaambiwa uendelee na mbio, huku mpinzani wako wakati wote huo yeye anakimbia kwa kasi kuelekea mwisho wa pambano, huku wewe ukikimbia kwa kuchechemea japo unauwezo na sifa zote za kushinda.
Naishia hapa, usijidharau. Tunafanyiwa rafu nyingi sana, kuhakikisha hatutoki hapa tulipo, maana wanajua tutakapotoka wao hawatakuwepo tena.
True KILA mtu ni mpigaji tu kama hatuishi kesho vileTumesha kata tamaa ya maisha, kila anayepata nafasi anajinufaisha yeye na waliomzunguka, ubinafsi ndio kilicho jaa kwenye nafasi za Waafrika.
Unaongea hearsay tuKati ya hizo Race mbili,weusi na weupe,nani alikaa kwenye utumwa kwa miaka 100,ukoloni kwa miaka 100 mingine?hakuna tatizo katika mbongo za weusi,sie na wazungu tupo Sawa,tungekuwa tuna shida vichwani?Patrice Lumumba,Kwameh Nkurumah,Mandela,Nyerere,Luther King,Malcon X,wangetoka wapi?
Je unajua mtu tajiri sana Afrika kusini,anaitwa Patrick Mothepe,Afrika nzima Yupo Alicko Dangote,Je unajua Dokta wa kwanza kufanya operation ya kutenganisha mapacha?alikuwa Bern Carson,mtu mweusi.
Leo hii naanza kuwaelewa wazungu waliotuona tuko tofauti na wao.Sorry kwa watakao feel offended
Africa kuna nchi 54. Nje ya Africa nchi ambazo zina jamii ya watu weusi
Ni za visiwa vya Careebian kama Jamaika , Haiti Buhamas.
Lakini zooteee hizo hamna hata nchi ambayo ni developed nation hata moja!!
Matatizo ya Tanzania , Zimbabwe Congo Namibia sijui Africa ya kati ni yale yale na ya Haiti ni yale yale.
Itoe South Africa ambayo waanchi wake weusi hawamiliki asilimia 80 ya uchumi!! Ukiwa umehodhiwa na wazungu.
Jibu kama mtu usie na mihemuko!!