Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kwa hili acha tuende huko ulaya , dunia kijijiFuraha,Mbaya,MBOWE, Makini
Kwa majina ya waislam hapa bongo Sawa Ni Dini lakini majina mengi ya wakristo Ni ya kizungu sio ya kikristo ... George,Kevin,Brian,April,June,Stella,Stan,Danford,Datius,Derick, Diana,Janeth,William,Wilson,....nk. nk. Machache ndo ya kidini Paul,Peter,John,Joseph,Mary, .Dini ndio zimepelekea kutokea kwa majina haya ya Kizungu na Kiarabu, mbona hatuna majina ya kikorea na kichina?
Sawa kawe mtumwa....wewe utakuwa unaamini wazungu Ni wazuri by appearance kuliko waafrikaAisee kwa hili acha tuende huko ulaya , dunia kijiji
Mkuu Utumwa ni fikra yako (zako). Hilo unaloamini ni ww na uoga wako.Sawa kawe mtumwa....wewe utakuwa unaamini wazungu Ni wazuri by appearance kuliko waafrika
Sawa ilaa kwanini Ni waafrika Tu ndo tumeyakumbatia ...mbona ukiingia japan kuwakuta kina George Ni Kwa tochi...au Jina Kenji Kumamoto Ni Zuri?Mkuu Utumwa ni fikra yako (zako). Hilo unaloamini ni ww na uoga wako.
Umpe mtoto jina aitwe NGUVU YA NYANI, SUNGURA etc , eti useme ni kuukumbatia Uafrika.
Siyo kila kitu cha kiafrika kizuri vile vile cha kizunngu.
N.B fanya unacho ona kwako ni sahihi.
Shoga baba yako mzazi mchumba wake hawara ya bibi yako nini?Basi kwakuwa wamekuletea boxa umeamua Kuwaiga Na Kuwa shoga?
Mbona wachina wa Hong Kong wote majina Yao ya kwanza ni Anglo-HebrewSawa ilaa kwanini Ni waafrika Tu ndo tumeyakumbatia ...mbona ukiingia japan kuwakuta kina George Ni Kwa tochi...au Jina Kenji Kumamoto Ni Zuri?
Tu wazuri! Hii kusema sisi wazuri kuliko wao ni kuji uplift tu... aliyechukia ajinyee sasa!Sawa kawe mtumwa....wewe utakuwa unaamini wazungu Ni wazuri by appearance kuliko waafrika
Hayavutii kivipi kwahiyo kabla ya waarabu na wazungu tulikua hatuitani majina.. huu ndio ushamba wenyewekiukweli majinaya kibantu hayavutii masikioni.
sikitu,tuntufye,kokumanyisa,kigwangala,pinda,tundu,kinabo nk.
Nani mzuri Sisi wao?Tu wazuri! Hii kusema sisi wazuri kuliko wao ni kuji uplift tu... aliyechukia ajinyee sasa!
Nick namesMbona wachina wa Hong Kong wote majina Yao ya kwanza ni Anglo-Hebrew
Hayavutii kivipi kwahiyo kabla ya waarabu na wazungu tulikua hatuitani majina.. huu ndio ushamba wenyewe
Wewe ni mtumwa wa akili !!! Pole sana
Good, Majina ya Watoto wangu watatu ni hayaJina ni neno au maneno anayopewa mtu au kitu au hali Fulani
Nataka kujikita kwenye jina tunalopeana watu.
Kwanini Waafrika tunapenda sana kuwapa watoto wetu majina ya Ulaya, Asia n.k., lakini sisi tuna maneno katika lugha za Kiafrika.
Kwanini usumbuke uingie kwenye mtandao na penginepo.
Tanzania tuna lugha nyingi maana tuna maneno ambayo tungetumia kuwapa watoto wetu.
Hatuwi wa maana ati kwa kuitwa Zebedayo au Hasani au Rebecca au Salha nk
Hatuwi wacha Mungu wazuri kwa majina hayo.
Mtu akiishi au akafuata ya huko nje tunamkandia, vipi kuhusu jina mwanao.
Natamami tubadilike, kama wewe ni Mgogo au Mfipa au Mmakua nk tumia neno ambalo unalijua maana take na unalifurahia.
Tuache ushamba wa kupenda tusivyovijua
Yana vutia, mfano majina Kama hayaHayavutii kivipi kwahiyo kabla ya waarabu na wazungu tulikua hatuitani majina.. huu ndio ushamba wenyewe
Kuna nchi nyingi sana nje ya Africa dini zilifika mapema zaidi yetu tena kwao dini zikawa imara sana kuliko ilivyo Africa. Je nao dini zilibadili majina ya Asili zao kama kwetu. Au ni kama ilivyo suala la Chanjo kuwa WAO HAWAJAAMUA BADO.Dini ndio zimepelekea kutokea kwa majina haya ya Kizungu na Kiarabu, mbona hatuna majina ya kikorea na kichina?